Usaliti wenye ulazima

Usaliti wenye ulazima

Mkeo mshenzi kweli piga chini jitu gani Hilo yani niko na mume wangu eti asimamishe gari ili nimsalimie mtu aliyewahi kugombana na ex,,, Ni ama alikuwa anamringishia huyo jafari kuwa nae kaolewa nk
Saa zingine tukisema dawa ya mwanamke ni makofi huwa hatuelewekagi ila ndio ukweli
 
**** siku tulikuwa tunapeleka rice cooker nyumbani kwa wife kuna sehemu tulipita mbele yetu kulikuwa na boda boda wife akaomba nisimamishe gari amsalimie kaka Jafari. nikamwambia utamsalimia tukirudi tutachelewa , wife alilalamika sana kuwa kwanini namnyanyasa na gari langu anashindwa salimia watu yeye watamuonaje ambacho hakujua nilishapata stori za huyo jafari kuwa alikuwa anamtaka na walishawahi pigana jafari na huyo ex wake.
wakati tunarudi akaomba amsalkimie tena nikasamamisha gari akamsalimia tukasepa, mbeleni nikamuuliza huyo ni jafari wa serikali za mtaa akasema ndio umemjuaje. nikamwambia najua kila kitu ndio maana sikutaka umsalimie. baada ya sentensi hiyo tulikaa bila kuongea mpaka tunafika home. stori zote za huyo jafari kuoigana na ex wa wife kwa ajiri ya wife ananipa huyo binti.
Mkubwa hapo hakuna mke ....[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Kaka jafar ..akijitahid kidogo anajilia mzigo ...
 
Mzee wa kubutua😂😂😂 naona umepata pa kutembea na fursa ya kupiga, Sasa ukimpiga ndo ataacha kumpenda au kutafuta attention kutoka kwa ex na familia yake?
Hio ndio adhabu ya mwisho asiposikia na hapo basi akwendree zake huko. Namtimua fasta
 
Mkeo amekukosea Ni wazi anampenda ex wake sana kuliko wewe, na hiyo kujifanya anasaidia ndugu wa ex anataka kuionyesha familia ya ex kuwa ndugu yao alipoteza mke mwema,,, ujinga ujinga tu anakutumia kukudolishia pasipo kujua Ni kiasi gani anakuumiza, Mimi hata namba ya ex kwenye simu ya mume wangu siitaki labda wawe wamezaa full stop una uvumilivu hata hivyo

Anapenda attention za kisenge kweli,,kaniboa mi nilivyo na wivu [emoji23][emoji23][emoji23]ningemmwagia hata maji ya Moto akiwa amelala pumbavu kabisa,,

Hako kabinti kangekuwa kakubwa ningekushauri ukaoe ila Nina wasiwasi katakusumbua katakuongezea stress, mkeo kayataka
Maji ya moto tena? [emoji28][emoji28]
 
Habari ndugu zanguni,
ni miaka mitatu sasa tangu niingie kwenye ndoa, toka mwanzo wa mahusiano na mke niligundua tabia ambayo sikuipenda ,mke wangu alikuwa bado anawasiliana na ndugu wa ex wake hasa dada zake na mamake yake yaani kwenye mambo ya kifamilia/sherehe watamshirkisha japo yeye na huyo ex wake waliachana tangu 2012.
Nilimuonya mara kwa mara kuwa kuendelea kuwasiliana nao ni kunikosea heshima na ukizingatia mimi na yeye tulikuwa na malengo alichofanya yeye ni kupunguza mawasiliano ya kuongea ila facebook kwenye comment wanaitana wii kama kawaida.

kilichosababisha kuandika huu uzi ni kuwa mmoja wa mawifi zake ana mtoto mkubwa tu kama miaka 21 kamaliza diploma ya famasi chuo fulani kigamboni cha afya (nimesahau jina) mawasiliano kati ya mke wangu na haka kabinti yaliendelea/yanaendelea licha ya kumkataza yeye anadai huyu binti alikuwa mdogo sana kipindi yeye ana date na uncle wake wala hajui chochote kama walikuwa kwenye mahusiano hivyo si vibaya kuwasiliana naye.
Baada ya muda nikaona isiwe shida ngoja na mie nijenge ukaribu na haka kabinti labda nitapata chance ya kukatafuna nijipooze , nilianza mchakato kama miaka miwili iliyopita lakini kila ikifikia hatua ya kuomba kuonana anasema mpaka aunty awepo ndio atakuja nikawa napotezea, nikikumbushia tena wimbo ni ule ule atakuja home aunty akiwepo na hatuwezi onana sehemu nyingine yoyote.

Mwaka huu mwanzoni kidogo nilianza ona dalili ya mafanikio alinitumia friend request tena facebook tukachat nikaomba tuonane tena safari hii akakubali ila sehemu iwe ya wazi tukapate lunch nikaenda onana naye , mara ya pili tena nikaomba onana naye ila nilimuomba iwe sehemu ya ndani kama hotel sababu mie nimeoa hapa hapa town kuonekana ni rahisi akakubali nikampeleka lodge fulani iko jirani na temeke mwisho kwanza aligoma kabisa kuingia nikamdanganya kuwa nishalipia na nikambebembeleza sana akakubali kwa masharti hatusex na kweli alinikazia kusex akiwa na visingizio chungu nzima, tulivyoachana sikumcheki tena nikajua nishaharibu CV ataenda kunitangaza huko kwao, ajabu kesho jioni natoka kazini akanitext l mambo leo ulikuwa busy, japo siku zote huwa anaanza na shikamoo uncle, nikamwambia bado nasikia machungu ya jana akasema hapana kwanza hatujapima atani trust vipi manake magonjwa mengi pili yeye ana mchumba na mimi nimeoa tutakuwa pamoja for how long?, mwisho aliuliza what if aunty akijua na aunty anamsaidia vitu vingi na anamuona kama ndugu, nikamjibu kiufasaha na mwisho nikaomba tuonane tena.

Safari hii ya tatu ya kuonana nilifanikisha kukatafuna japo yeye alijua nimefanya kwa upendo ila moyoni nilikuwa nalipiza kisasi kupooza machungu sababu wife inaonekana hii familia anaipenda sana kitu ambacho ni kunikosea heshima mimi. Tangia nimeanza uhusiano na huyu binti nimejikuta namchukia zaidi mke wangu kwani vitu alivyodai huyu binti hajui kiuhalisia anajua, mama yake na huyo ex wake alifariki 2017 kipindi anaumwa wife alikuwa anaenda kumuona sababu wanakaa mtaa mmoja hizi habari zote kanipatia huyu binti pamoja na habari nyingine ambazo hata kama mambo yamepita lazima yanatia wivu.

Nilipanga kumtafuna na kuacha ila nitaendelea kuwa naye ili nizidi kupooza machungu kwakuwa mke amevuruga trust aliyotakiwa kunionyesha.
Ili kisasi kitimie, mjuze na mkeo. Maumivu atakayoyapata ni zaidi ya uliyopata na nakuhakikishia atasahau kabisa hiyo familia. Tena ongezea na kumdanganya kuwa umepita na wifi zake kadhaa.
 
Kuacha mke sio rahc kama kwenda chooni kutoa taka mwili....alisema mwana jf mmoja
Kwa hayo anayoyapitia unadhani ni sahihi kuendelea na huyo mwanamke?

Binafsi nimeacha mke tukiwa na watoto wawili wadogo kwa sababu alishindwa kujirekebisha, niliitisha vikao sana, ikafikia hatua Dada yangu ambaye alikua akimtetea akabwaga manyanga, akasema, "Basi inatosha pambana mwenyewe na ndoa yako".

Wajomba wa mwanamke walikua mguu nje mguu ndani hawaeleweki nikaona isiwe kesi, mtu wa bara na mzigua wapi na wapi, nikapiga chini, sa hivi kaolewa na mzigua mwenzie huko uziguani

Pitia post zangu kwenye uzi wa @mshanajr wenye kichwa cha habari "MADA MAALUM KWA WANANDOA"
 
Ili kisasi kitimie, mjuze na mkeo. Maumivu atakayoyapata ni zaidi ya uliyopata na nakuhakikishia atasahau kabisa hiyo familia. Tena ongezea na kumdanganya kuwa umepita na wifi zake kadhaa.
kuna wifiake mmoja nilianza wasiliana naye sasaivi hajibu meseji wala nini ngoja niendelee tafuna mtoto wao wakijua maumivu yanatosha.
 
Ile issue anayokua nayo mwenza wako kabla ya ndoa inayokuboa ile unamwambia habadiliki, then unaamua muoane tuu bse no one is perfect ukitegemea maybe kwenye ndoa atabadilika. Mara nyingi hiyo issue ndio inakua root cause ya migogoro mingi kwenye ndoa.

Huyo dada ungemuacha tu kwenye uchumba aendelee kuwasiliana na hiyo familia ya ex wake wewe ungetafuta mwingine anayekusikiliza ukamuoa.

Sasa hapa na wewe umeamua kuchomoa betri, mke wako akijua anaweza akamtafuta ex wake ili achepuke kama kisasi kwako.

Muombe Mungu tu akupe hekima wewe ni baba na kichwa cha familia, lakini uzinzi uache. Maana huu nao ni moto unaosubiria kulipuka[emoji134]

The Best message I’ve met today [emoji4]
 
Mkeo amekukosea Ni wazi anampenda ex wake sana kuliko wewe, na hiyo kujifanya anasaidia ndugu wa ex anataka kuionyesha familia ya ex kuwa ndugu yao alipoteza mke mwema,,, ujinga ujinga tu anakutumia kukudolishia pasipo kujua Ni kiasi gani anakuumiza, Mimi hata namba ya ex kwenye simu ya mume wangu siitaki labda wawe wamezaa full stop una uvumilivu hata hivyo

Anapenda attention za kisenge kweli,,kaniboa mi nilivyo na wivu 😂😂😂ningemmwagia hata maji ya Moto akiwa amelala pumbavu kabisa,,

Hako kabinti kangekuwa kakubwa ningekushauri ukaoe ila Nina wasiwasi katakusumbua katakuongezea stress, mkeo kayataka
Naona umechafukwa..hatari..mkuu😀😀😀
 
Back
Top Bottom