Usaliti wenye ulazima

Sasa umekuja na Jafar tena!!!! Huyo dada ataja kukuua bure na Maradhi yaani kwenye Mahusiano kama hakuna kuaminiana ni tatizo sana.

Lakini amini kama ulishindwa kumbadilisha enzi ya uchumba kwa kigezo ukimuoa utatii kiu yake ya matamanio ya kuolewa na kubadilika umeula wa chuya bro! Kifupi hakuheshimu huyo ni mshenzi hana adabu hajui mume ni nani ndani.

Na kama hakuheshimu lazima ataliwa au ana liwa na huyo ex wake!
 
Unaona sawa wao kuendelea kuitana wifi km si umalaya huo ni nini?
 
Haya mnaotetea semeni na hapa sasa mwanamke km huyu umkanye vipi sasa?
 
Mkeo mshenzi kweli piga chini jitu gani Hilo yani niko na mume wangu eti asimamishe gari ili nimsalimie mtu aliyewahi kugombana na ex,,, Ni ama alikuwa anamringishia huyo jafari kuwa nae kaolewa nk
 
Mkeo amekukosea Ni wazi anampenda ex wake sana kuliko wewe, na hiyo kujifanya anasaidia ndugu wa ex anataka kuionyesha familia ya ex kuwa ndugu yao alipoteza mke mwema,,, ujinga ujinga tu anakutumia kukudolishia pasipo kujua Ni kiasi gani anakuumiza, Mimi hata namba ya ex kwenye simu ya mume wangu siitaki labda wawe wamezaa full stop una uvumilivu hata hivyo

Anapenda attention za kisenge kweli,,kaniboa mi nilivyo na wivu 😂😂😂ningemmwagia hata maji ya Moto akiwa amelala pumbavu kabisa,,

Hako kabinti kangekuwa kakubwa ningekushauri ukaoe ila Nina wasiwasi katakusumbua katakuongezea stress, mkeo kayataka
 
Ndoa huwa ni kama shimo la matatizo tu!!

Jemedari we acha tu, ndoa zina changamoto zake tena nyingi tu.

Lakini huyu jamaa hajielewi, unalaani kosa la wife ( tena mchumba kama sikosei ) la kuwasiliana na ndugu wa x wake huku wewe unaenda kutafuna kabisa na umedhamiria kuendelea kutafuna.

Hii kaliba ya watu wataacha kushangilia uvumi na matatizo ya watu kweli Bro? Kuna kujielewa hapa?
 
mkuu hii haijakutokea hasa unaomuonya mtu kitu ila analeta visingizio, huyu binti anajua mpaka sababu za wao kuachana, kipindi mama wa ex wake anaumwa hakuwahi kuniga anaenda kumuona na tulikuwa kwenye mahusiano alikuwa anaficha nini.

Mkuu na sie tuna wivu na machungu kama wewe yanapokuja haya mambo. Tatizo ni njia uliyotumia kutatua tatizo lako, unaongeza tatizo. Kama unapika wali ni kama sasa unaupalia mkaa joto liendelee kupenya taratibu mpunga uive vuzuri taratiiiibu.

Unatengeneza janga kapteni. Nikajua ulipata ushahidi usio shaka kwamba wife anaendelea na x wake au hako ka binti kanamshawishi au kumshinikiza wife aendelee na x wake.
 
Mara nyingi mtu akinibeza kisa natumia FB huwa namuona mpuuzi, limbukeni na immature sana..
We sio immature ila ni mshamba, mitandao yenye reputation mbovu nchini katika rank unaanza huo wa FB ikifuatiwa na Twitter, instagram kuna upuuzi wa kiwango cha kati kulingana na page gani unafuatilia.

Mitandao ambayo ina utimamu ni JF, telegram, linkedin tu kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…