Usaliti wenye ulazima

Usaliti wenye ulazima

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,430
Reaction score
3,547
Habari ndugu zanguni,

ni miaka mitatu sasa tangu niingie kwenye ndoa, toka mwanzo wa mahusiano na mke niligundua tabia ambayo sikuipenda ,mke wangu alikuwa bado anawasiliana na ndugu wa ex wake hasa dada zake na mamake yake yaani kwenye mambo ya kifamilia/sherehe watamshirkisha japo yeye na huyo ex wake waliachana tangu 2012.

Nilimuonya mara kwa mara kuwa kuendelea kuwasiliana nao ni kunikosea heshima na ukizingatia mimi na yeye tulikuwa na malengo alichofanya yeye ni kupunguza mawasiliano ya kuongea ila facebook kwenye comment wanaitana wii kama kawaida.

kilichosababisha kuandika huu uzi ni kuwa mmoja wa mawifi zake ana mtoto mkubwa tu kama miaka 21 kamaliza diploma ya famasi chuo fulani kigamboni cha afya (nimesahau jina) mawasiliano kati ya mke wangu na haka kabinti yaliendelea/yanaendelea licha ya kumkataza yeye anadai huyu binti alikuwa mdogo sana kipindi yeye ana date na uncle wake wala hajui chochote kama walikuwa kwenye mahusiano hivyo si vibaya kuwasiliana naye.

Baada ya muda nikaona isiwe shida ngoja na mie nijenge ukaribu na haka kabinti labda nitapata chance ya kukatafuna nijipooze , nilianza mchakato kama miaka miwili iliyopita lakini kila ikifikia hatua ya kuomba kuonana anasema mpaka aunty awepo ndio atakuja nikawa napotezea, nikikumbushia tena wimbo ni ule ule atakuja home aunty akiwepo na hatuwezi onana sehemu nyingine yoyote.

Mwaka huu mwanzoni kidogo nilianza ona dalili ya mafanikio alinitumia friend request tena facebook tukachat nikaomba tuonane tena safari hii akakubali ila sehemu iwe ya wazi tukapate lunch nikaenda onana naye , mara ya pili tena nikaomba onana naye ila nilimuomba iwe sehemu ya ndani kama hotel sababu mie nimeoa hapa hapa town kuonekana ni rahisi akakubali nikampeleka lodge fulani iko jirani na temeke mwisho kwanza aligoma kabisa kuingia nikamdanganya kuwa nishalipia na nikambebembeleza sana akakubali kwa masharti hatusex na kweli alinikazia kusex akiwa na visingizio chungu nzima, tulivyoachana sikumcheki tena nikajua nishaharibu CV ataenda kunitangaza huko kwao.

jabu kesho jioni natoka kazini akanitext l mambo leo ulikuwa busy, japo siku zote huwa anaanza na shikamoo uncle, nikamwambia bado nasikia machungu ya jana akasema hapana kwanza hatujapima atani trust vipi manake magonjwa mengi pili yeye ana mchumba na mimi nimeoa tutakuwa pamoja for how long?, mwisho aliuliza what if aunty akijua na aunty anamsaidia vitu vingi na anamuona kama ndugu, nikamjibu kiufasaha na mwisho nikaomba tuonane tena.

Safari hii ya tatu ya kuonana nilifanikisha kukatafuna japo yeye alijua nimefanya kwa upendo ila moyoni nilikuwa nalipiza kisasi kupooza machungu sababu wife inaonekana hii familia anaipenda sana kitu ambacho ni kunikosea heshima mimi.

Tangia nimeanza uhusiano na huyu binti nimejikuta namchukia zaidi mke wangu kwani vitu alivyodai huyu binti hajui kiuhalisia anajua, mama yake na huyo ex wake alifariki 2017 kipindi anaumwa wife alikuwa anaenda kumuona sababu wanakaa mtaa mmoja hizi habari zote kanipatia huyu binti pamoja na habari nyingine ambazo hata kama mambo yamepita lazima yanatia wivu.

Nilipanga kumtafuna na kuacha ila nitaendelea kuwa naye ili nizidi kupooza machungu kwakuwa mke amevuruga trust aliyotakiwa kunionyesha.
 
Jaman ndoa c ya majaribio wala c kipindi cha kudate ndoa ni yakiroho zaidi ndugu zanguni ambao hamjaingia kwenye hii taasisi jitafakarini sana ingieni kwenye ndoa na wenza ambao wako matured enough to handle misukosuko na dhoruba za kila namna Mungu awasaidieni sana wapendwa hii taasisi shetani ameiatamia sana ....silaha kuu ya mwadamu ni sala na maombi...ombeni bila kukoma maana wakutanikapo tai ndipo penye mzoga....[emoji2731]
 
Habari ndugu zanguni,
ni miaka mitatu sasa tangu niingie kwenye ndoa, toka mwanzo wa mahusiano na mke niligundua tabia ambayo sikuipenda ,mke wangu alikuwa bado anawasiliana na ndugu wa ex wake hasa dada zake na mamake yake yaani kwenye mambo ya kifamilia/sherehe watamshirkisha japo yeye na huyo ex wake waliachana tangu 2012.
Nilimuonya mara kwa mara kuwa kuendelea kuwasiliana nao ni kunikosea heshima na ukizingatia mimi na yeye tulikuwa na malengo alichofanya yeye ni kupunguza mawasiliano ya kuongea ila facebook kwenye comment wanaitana wii kama kawaida.

kilichosababisha kuandika huu uzi ni kuwa mmoja wa mawifi zake ana mtoto mkubwa tu kama miaka 21 kamaliza diploma ya famasi chuo fulani kigamboni cha afya (nimesahau jina) mawasiliano kati ya mke wangu na haka kabinti yaliendelea/yanaendelea licha ya kumkataza yeye anadai huyu binti alikuwa mdogo sana kipindi yeye ana date na uncle wake wala hajui chochote kama walikuwa kwenye mahusiano hivyo si vibaya kuwasiliana naye.
Baada ya muda nikaona isiwe shida ngoja na mie nijenge ukaribu na haka kabinti labda nitapata chance ya kukatafuna nijipooze , nilianza mchakato kama miaka miwili iliyopita lakini kila ikifikia hatua ya kuomba kuonana anasema mpaka aunty awepo ndio atakuja nikawa napotezea, nikikumbushia tena wimbo ni ule ule atakuja home aunty akiwepo na hatuwezi onana sehemu nyingine yoyote.

Mwaka huu mwanzoni kidogo nilianza ona dalili ya mafanikio kalinitumia friend request tena facebook tukachat nikaomba tuonane tena safari hii akakubali ila sehemu iwe ya wazi tukapate lunch nikaenda onana naye , mara ya pili tena nikaomba onana naye ila nilimuomba iwe sehemu ya ndani kama hotel sababu mie nimeoa hapa hapa town kuonekana ni rahisi akakubali nikampeleka lodge fulani iko jirani na temeke mwisho kwanza aligoma kabisa kuingia nikamdanganya kuwa nishalipia na nikambebembeleza sana akakubali kwa masharti hatusex na kweli alinikazia kusex akiwa na visingizio chungu nzima, tulivyoachana sikumcheki tena nikajua nishaharibu CV ataenda kunitangaza huko kwao, ajabu kesho jioni natoka kazini akanitext l mambo leo ulikuwa busy, japo siku zote huwa anaanza na shikamoo uncle, nikamwambia bado nasikia machungu ya jana akasema hapana kwanza hatujapima atani trust vipi manake magonjwa mengi pili yeye ana mchumba na mimi nimeoa tutakuwa pamoja for how long?, mwisho aliuliza what if aunty akijua na aunty anamsaidia vitu vingi na anamuona kama ndugu, nikamjibu kiufasaha na mwisho nikaomba tuonane tena.

Safari hii ya tatu ya kuonana nilifanikisha kukatafuna japo yeye alijua nimefanya kwa upendo ila moyoni nilikuwa nalipiza kisasi kupooza machungu sababu wife inaonekana hii familia anaipenda sana kitu ambacho ni kunikosea heshima mimi. Tangia nimeanza uhusiano na huyu binti nimejikuta namchukia zaidi mke wangu kwani vitu alivyodai huyu binti hajui kiuhalisia anajua, mama yake na huyo ex wake alifariki 2017 kipindi anaumwa wife alikuwa anaenda kumuona sababu wanakaa mtaa mmoja hizi habari zote kanipatia huyu binti pamoja na habari nyingine ambazo hata kama mambo yamepita lazima yanatia wivu.

Nilipanga kumtafuna na kuacha ila nitaendelea kuwa naye ili nizidi kupooza machungu kwakuwa mke amevuruga trust aliyotakiwa kunionyesha.

Mkuu kwakweli sisi wote hua tunatafuta kisingizio pale tunapotaka kuchepuka, ila hiki kisingizio chako ni cha kiwango cha SGR! 😂😂
 
PATHETIC.. nimejitahidi nikutane ni wapi huyo malaya mwenzio kasema ni kweli kuwa mkeo na uncle wake wanaendeleza kufanya mapenzi sijaona, wivu wa kijinga kabisa, kiwango cha zama za mawe!

Ulitegemea huyu unayemlala leo angekwambia jema la mkeo?
wewe ni mpumbavu, umeshasema walikua ni majirani kuna bond nyingine hubaki hivyo tu kwa heshima kubwa wala hata kutamaniana hakumo tena.
Najuta kuusoma huu uzi umeniharibia jioni yangu.
mkuu hii haijakutokea hasa unaomuonya mtu kitu ila analeta visingizio, huyu binti anajua mpaka sababu za wao kuachana, kipindi mama wa ex wake anaumwa hakuwahi kuniga anaenda kumuona na tulikuwa kwenye mahusiano alikuwa anaficha nini.
 
Back
Top Bottom