Usaliti wenye ulazima

Usaliti wenye ulazima

We sio immature ila ni mshamba, mitandao yenye reputation mbovu nchini katika rank unaanza huo wa FB ikifuatiwa na Twitter, instagram kuna upuuzi wa kiwango cha kati kulingana na page gani unafuatilia.

Mitandao ambayo ina utimamu ni JF, telegram, linkedin tu kwa sasa.
Itoe Twitter hapo

Twitter is for elites
Unaweza kuandika ujinga na usiwe popular kama Facebook na huko telegram ni connection tu ndio zinawapeleka watu
 
Kwanini msiachane tu kama hamuaminiani tabu yote ya nini?? Mi nakuona famba kweli ukute mwenzako hacheat sa jiandae na moto utakao fuata atakukata nyeti hizo!
Kwani aliyekutwa na ngozi si ndiyo aliyekula nyama, wewe umeshaolewa kwanini unawasiliana na karibu familia yote ya ex wako? hivi akili zimeenda wapi
 
Mnamtia ujinga tu mwenzenu jamaa hajamkata mkewe na kithibitisho chochote! Ye ndio kaamua akitembeze kwahuyo demu mwingine kichaa hapo ni huyo jamaa
yaani unataka jamaa aone ushahidi mke wake akipelekewa moto, seriously?
 
Itoe Twitter hapo

Twitter is for elites
Unaweza kuandika ujinga na usiwe popular kama Facebook na huko telegram ni connection tu ndio zinawapeleka watu
Elites ndio akina Kigogo au?😂😂😂
 
Aisee wewe lazima utakua umeokoka na unampenda yesu. Kwanini hujamla ndogo huyo binti?
 
Habari ndugu zanguni,

ni miaka mitatu sasa tangu niingie kwenye ndoa, toka mwanzo wa mahusiano na mke niligundua tabia ambayo sikuipenda ,mke wangu alikuwa bado anawasiliana na ndugu wa ex wake hasa dada zake na mamake yake yaani kwenye mambo ya kifamilia/sherehe watamshirkisha japo yeye na huyo ex wake waliachana tangu 2012.

Nilimuonya mara kwa mara kuwa kuendelea kuwasiliana nao ni kunikosea heshima na ukizingatia mimi na yeye tulikuwa na malengo alichofanya yeye ni kupunguza mawasiliano ya kuongea ila facebook kwenye comment wanaitana wii kama kawaida.

kilichosababisha kuandika huu uzi ni kuwa mmoja wa mawifi zake ana mtoto mkubwa tu kama miaka 21 kamaliza diploma ya famasi chuo fulani kigamboni cha afya (nimesahau jina) mawasiliano kati ya mke wangu na haka kabinti yaliendelea/yanaendelea licha ya kumkataza yeye anadai huyu binti alikuwa mdogo sana kipindi yeye ana date na uncle wake wala hajui chochote kama walikuwa kwenye mahusiano hivyo si vibaya kuwasiliana naye.

Baada ya muda nikaona isiwe shida ngoja na mie nijenge ukaribu na haka kabinti labda nitapata chance ya kukatafuna nijipooze , nilianza mchakato kama miaka miwili iliyopita lakini kila ikifikia hatua ya kuomba kuonana anasema mpaka aunty awepo ndio atakuja nikawa napotezea, nikikumbushia tena wimbo ni ule ule atakuja home aunty akiwepo na hatuwezi onana sehemu nyingine yoyote.

Mwaka huu mwanzoni kidogo nilianza ona dalili ya mafanikio alinitumia friend request tena facebook tukachat nikaomba tuonane tena safari hii akakubali ila sehemu iwe ya wazi tukapate lunch nikaenda onana naye , mara ya pili tena nikaomba onana naye ila nilimuomba iwe sehemu ya ndani kama hotel sababu mie nimeoa hapa hapa town kuonekana ni rahisi akakubali nikampeleka lodge fulani iko jirani na temeke mwisho kwanza aligoma kabisa kuingia nikamdanganya kuwa nishalipia na nikambebembeleza sana akakubali kwa masharti hatusex na kweli alinikazia kusex akiwa na visingizio chungu nzima, tulivyoachana sikumcheki tena nikajua nishaharibu CV ataenda kunitangaza huko kwao.

jabu kesho jioni natoka kazini akanitext l mambo leo ulikuwa busy, japo siku zote huwa anaanza na shikamoo uncle, nikamwambia bado nasikia machungu ya jana akasema hapana kwanza hatujapima atani trust vipi manake magonjwa mengi pili yeye ana mchumba na mimi nimeoa tutakuwa pamoja for how long?, mwisho aliuliza what if aunty akijua na aunty anamsaidia vitu vingi na anamuona kama ndugu, nikamjibu kiufasaha na mwisho nikaomba tuonane tena.

Safari hii ya tatu ya kuonana nilifanikisha kukatafuna japo yeye alijua nimefanya kwa upendo ila moyoni nilikuwa nalipiza kisasi kupooza machungu sababu wife inaonekana hii familia anaipenda sana kitu ambacho ni kunikosea heshima mimi.

Tangia nimeanza uhusiano na huyu binti nimejikuta namchukia zaidi mke wangu kwani vitu alivyodai huyu binti hajui kiuhalisia anajua, mama yake na huyo ex wake alifariki 2017 kipindi anaumwa wife alikuwa anaenda kumuona sababu wanakaa mtaa mmoja hizi habari zote kanipatia huyu binti pamoja na habari nyingine ambazo hata kama mambo yamepita lazima yanatia wivu.

Nilipanga kumtafuna na kuacha ila nitaendelea kuwa naye ili nizidi kupooza machungu kwakuwa mke amevuruga trust aliyotakiwa kunionyesha.
Ila ndoa kuna muda n usenge sana

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna siku tulikuwa tunapeleka rice cooker nyumbani kwa wife kuna sehemu tulipita (mtaani kwao) mbele yetu kulikuwa na kijiwe cha boda boda wife akaomba nisimamishe gari amsalimie kaka Jafari. nikamwambia utamsalimia tukirudi tutachelewa , wife alilalamika sana kuwa kwanini namnyanyasa na gari langu anashindwa salimia watu yeye watamuonaje ambacho hakujua nilishapata stori za huyo jafari kuwa alikuwa anamtaka na walishawahi pigana jafari na huyo ex wake.
wakati tunarudi akaomba amsalimie tena nikasamamisha gari akamsalimia tukasepa, mbeleni nikamuuliza huyo ni jafari wa serikali za mtaa akasema ndio umemjuaje. nikamwambia najua kila kitu ndio maana sikutaka umsalimie. baada ya sentensi hiyo tulikaa bila kuongea mpaka tunafika home. stori zote za huyo jafari kuoigana na ex wa wife kwa ajiri ya wife ananipa huyo binti.
Mkuu huyo mwanamke anaonekana anakumudu,,yaan ameshajua udhaifu wako,na atakupelekesha mpaka unyooke

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Dah mwamba nimekukubali. Ndioninavyotakiwa mzee baba wee ichakate hiyo papuchi mpaka mke aje ajue without a shadow of a doubt kuwa unasambua papuchi mbichi
Kwani ya mkewe imekauka?.🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom