simple sana mkubwa lisence ni za biashara kama kawaida uwe na TIN no.uwe na business suppoting documents kama.invoice,quatation form,delivery notes,cash sale,receapt book na stamp valid. ila kumbuka unahitaji kushawishi wahusika kwani kuna taratibu za manunuzi za serikali ambazo zinafuatwa na mara zote wahusika ndio wanaofanya biashara na mashule.na maofisi yao so unahitaji extra convincing power to be envolved the end utaishia kutoa 10%(RUSHWA)