Manywele The Great
Member
- Aug 26, 2012
- 56
- 9
Ndugu wana JF nina mpango wa kuanzisha biashara ya kusambaza maofisini na mashureni(Stationary Materials), Nimesikia kuwa inatakiwa uwe na leseni(license) ya kufanya biashara hiyo. Napenda kufahamu uombaji wa tender kwa ofisi za serikali unakuwa vipi? Maana nasikia wengine wanaomba tender halmashauri za wilaya. Pia napenda kujua ile lisence inanipa uwezo wa kusambaza kiwango gani cha bidhaa?