Usambazaji wa decoder za AZAM tv huku mikoani upoje?

Usambazaji wa decoder za AZAM tv huku mikoani upoje?

Mpenda kazi

Senior Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
178
Reaction score
104
Habari wana jf?

Nilikua naomba kuuliza kuhusu usambazwaaji wa bidhaa hiyo utaratibu ukoje?

Mimi nipo hapa moro na kuna watu wengi wanaulizia sana decoder hizo sasa naomba nijulishwe.
 
Back
Top Bottom