Usambazaji wa umeme vijiji (REA) Ilikuwa mbinu ya kuongeza idadi walipa kodi ya Majengo?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Leo Nyumba duni zenye umeme ukinunua umeme lazima utakatwa kodi ya jengo, hii ni kwa sababu hakuna mfumo wowote TANESCO unaoonyesha nyumba duni na nyumba bora. Mfumo wao unatambua namba ya mita tu baasi.

Je, ule usambazaji wa umeme wa REA vijijini ulilenga kuongeza kodi zaidi ?

FB_IMG_1629460978482.jpg
 
Leo Nyumba duni zenye umeme ukinunua umeme lazima utakatwa kodi ya jengo, hii ni kwa sababu hakuna mfumo wowote Tanesco unaoonyesha nyumba duni na nyumba bora. Mfumo wao unatambua namba ya mita tu baasi.

Je, ule usambazaji wa umeme wa REA vijijini ulilenga kuongeza kodi zaidi ?
Wanajilipa kwa huduma waliyotoa.
 
Leo Nyumba duni zenye umeme ukinunua umeme lazima utakatwa kodi ya jengo, hii ni kwa sababu hakuna mfumo wowote Tanesco unaoonyesha nyumba duni na nyumba bora. Mfumo wao unatambua namba ya mita tu baasi.

Je, ule usambazaji wa umeme wa REA vijijini ulilenga kuongeza kodi zaidi ?
Nyumba zenye umeme ni 39.9% tu ya nyumba zote Tanzania, kwa mujibu wa ripoti ya REA ya mwaka jana. Ila umeme umefika mpaka vijijini kwa asilimia 76. Hii ina maana kuna nyumba nyingi sana zisizo na umeme, ila zipo karibu na nguzo (raia hawana pesa za kusambaza waya ndani ya nyuma zao). Kwa hio walipa kodi sio wengi kivileeeee.
 
Sio tu hawana pesa,kuipata huduma inawekewa vikwazo na milolongo na watumishi wa shirika sii mijini hata vijijini kwa kutengeneza mazingira ya maji ya kunywa,tangu kumpata surveyor,Hadi kuunganishiwa huduma yenyewe,kisingizio,unataka wa rea au nunua nguzo.Kama unataka wa rea subiri au ununue nguzo.Yafaa wahusika wafuatilie haya kwani tayari wamesha jua utamu watozo hata utokanao na luku na kodi ya majengo.
 
Leo Nyumba duni zenye umeme ukinunua umeme lazima utakatwa kodi ya jengo, hii ni kwa sababu hakuna mfumo wowote Tanesco unaoonyesha nyumba duni na nyumba bora. Mfumo wao unatambua namba ya mita tu baasi.

Je, ule usambazaji wa umeme wa REA vijijini ulilenga kuongeza kodi zaidi ?
Huko Mbeya vipi?
 
You are right. The REA objective to stimulate rural economic development has been defeated.
 
Unachukua kodi ya jengo kwenye makazi ya vijijini ambayo hayajarasimishwa..........nyumba ya tope inatozwa kodi ya jengo. Ama kweli huyu madelu kabobea kwenye uchumi wa tozo.....
 
Lipeni kodi acheni kulalamika, mnalalamika kila siku nchi ni maskini mnataka ijengwe na nani?
Miaka sitini ya Uhuru bado nchi masikini; Unategemea tozo ndiyo zituletee maendeleo?!
 
Unachukua kodi ya jengo kwenye makazi ya vijijini ambayo hayajarasimishwa..........nyumba ya tope inatozwa kodi ya jengo. Ama kweli huyu madelu kabobea kwenye uchumi wa tozo.....
Hata huruma hawana
 
Back
Top Bottom