Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wanajilipa kwa huduma waliyotoa.Leo Nyumba duni zenye umeme ukinunua umeme lazima utakatwa kodi ya jengo, hii ni kwa sababu hakuna mfumo wowote Tanesco unaoonyesha nyumba duni na nyumba bora. Mfumo wao unatambua namba ya mita tu baasi.
Je, ule usambazaji wa umeme wa REA vijijini ulilenga kuongeza kodi zaidi ?
Ile ghorofa yako ,ulipe kodi kwa kila gorofa sii uanze kukwepa.Lipeni kodi acheni kulalamika, mnalalamika kila siku nchi ni maskini mnataka ijengwe na nani?
Nyumba zenye umeme ni 39.9% tu ya nyumba zote Tanzania, kwa mujibu wa ripoti ya REA ya mwaka jana. Ila umeme umefika mpaka vijijini kwa asilimia 76. Hii ina maana kuna nyumba nyingi sana zisizo na umeme, ila zipo karibu na nguzo (raia hawana pesa za kusambaza waya ndani ya nyuma zao). Kwa hio walipa kodi sio wengi kivileeeee.Leo Nyumba duni zenye umeme ukinunua umeme lazima utakatwa kodi ya jengo, hii ni kwa sababu hakuna mfumo wowote Tanesco unaoonyesha nyumba duni na nyumba bora. Mfumo wao unatambua namba ya mita tu baasi.
Je, ule usambazaji wa umeme wa REA vijijini ulilenga kuongeza kodi zaidi ?
Sio tu hawana pesa,kuipata huduma inawekewa vikwazo na milolongo na watumishi wa shirika sii mijini hata vijijini kwa kutengeneza mazingira ya maji ya kunywa,tangu kumpata surveyor,Hadi kuunganishiwa huduma yenyewe,kisingizio,unataka wa rea au nunua nguzo.Kama unataka wa rea subiri au ununue nguzo.Yafaa wahusika wafuatilie haya kwani tayari wamesha jua utamu watozo hata utokanao na luku na kodi ya majengo.Nyumba zenye umeme ni 39.9% tu ya nyumba zote Tanzania, kwa mujibu wa ripoti ya REA ya mwaka jana. Ila umeme umefika mpaka vijijini kwa asilimia 76. Hii ina maana kuna nyumba nyingi sana zisizo na umeme, ila zipo karibu na nguzo (raia hawana pesa za kusambaza waya ndani ya nyuma zao). Kwa hio walipa kodi sio wengi kivileeeee.
Huko Mbeya vipi?Leo Nyumba duni zenye umeme ukinunua umeme lazima utakatwa kodi ya jengo, hii ni kwa sababu hakuna mfumo wowote Tanesco unaoonyesha nyumba duni na nyumba bora. Mfumo wao unatambua namba ya mita tu baasi.
Je, ule usambazaji wa umeme wa REA vijijini ulilenga kuongeza kodi zaidi ?
Naondoka kuelekea huko mchana huu kujaribu kufanya tathminiHuko mbeya vipi?
ni 60000 si bei nyingiIle ghorofa yako ,ulipe kodi kwa kila gorofa sii uanze kukwepa.
You are right. The REA objective to stimulate rural economic development has been defeated.Leo Nyumba duni zenye umeme ukinunua umeme lazima utakatwa kodi ya jengo, hii ni kwa sababu hakuna mfumo wowote Tanesco unaoonyesha nyumba duni na nyumba bora. Mfumo wao unatambua namba ya mita tu baasi.
Je, ule usambazaji wa umeme wa REA vijijini ulilenga kuongeza kodi zaidi ?
Miaka sitini ya Uhuru bado nchi masikini; Unategemea tozo ndiyo zituletee maendeleo?!Lipeni kodi acheni kulalamika, mnalalamika kila siku nchi ni maskini mnataka ijengwe na nani?
Hata huruma hawanaUnachukua kodi ya jengo kwenye makazi ya vijijini ambayo hayajarasimishwa..........nyumba ya tope inatozwa kodi ya jengo. Ama kweli huyu madelu kabobea kwenye uchumi wa tozo.....
ndioMiaka sitini ya Uhuru bado nchi masikini; Unategemea tozo ndiyo zituletee maendeleo?!
Utasubiri sana!ndio
Chadema hao , kilakitu kulalamikaLipeni kodi acheni kulalamika, mnalalamika kila siku nchi ni maskini mnataka ijengwe na nani?
Huruma ya nini? Kwenye kuleta maendeleo?Hata huruma hawana