Usambazaji wa umeme vijiji (REA) Ilikuwa mbinu ya kuongeza idadi walipa kodi ya Majengo?

Miaka sitini ya Uhuru bado nchi masikini; Unategemea tozo ndiyo zituletee maendeleo?!
Taja nchi yoyote isiyolipa kodi duniani? Hata kwenye nyumba za ibada unalipa tozo a.k.a sadaka.
 
Taja nchi yoyote isiyolipa kodi duniani? Hata kwenye nyumba za ibada unalipa tozo a.k.a sadaka.
Sina muda wa kuelewesha maana ya Kodi Kama huelewi.

Kulipa sadaka unalazimishwa au unatoa kwa hiari? Usipotoa sadaka Ibadani kuna mtu anakuuliza??!!
 
Sina muda wa kuelewesha maana ya Kodi Kama huelewi.

Kulipa sadaka unalazimishwa au unatoa kwa hiari? Usipotoa sadaka Ibadani kuna mtu anakuuliza??!!
Huna muda au , empty set mukichwa? Unaendeshwa na upepo wa mazwazwa wa chadema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚pole sana .
 
Huna muda au , empty set mukichwa? Unaendeshwa na upepo wa mazwazwa wa chadema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚pole sana .
halafu wewe nilisha kuignore sijui umerudije tena
 
Huna muda au , empty set mukichwa? Unaendeshwa na upepo wa mazwazwa wa chadema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚pole sana .
Unaweza kudai cho chote lakini wenye akili wataelewa nani zwazwa kati yang na wewe.
 
Waliposema 'connection fee' iwe 27,000 tu, sasa nimeelewa lengo lao.

Kuna jamaa yangu ana nyumba yake ya kupangisha (double room 5), aliposikikia huu unafuu wa kuunganisha umeme akaenda kuweka mita mpya kwa kila mpangaji.
Maana yake hiyo nyumba moja ina mita tano zinazotambulika na Tanesco. (12,000Γ—5)
 
Hii kitu kuna jamaa alinidokeza."Hii 27,000 nchi nzima italeta neno huko tuendako." Sasa nimemuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…