moja kati ya mapungufu ya usanifishaji wa lugha ya kiswahili ni kwamba .....mchakato huu ulifanywa na wageni(wazungu) hivyo kusababisha baadhi ya maneno kutamkwa tofauti na yanavyo andikwa mfano....NJE, NGE...
kwa kuwa sasa kuna wataalam wa kutosha je si vema lugha hii ikasanifiwa tena kwa upya