usanifishaji wa kiswahili

usanifishaji wa kiswahili

jesacho

Senior Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
115
Reaction score
13
moja kati ya mapungufu ya usanifishaji wa lugha ya kiswahili ni kwamba .....mchakato huu ulifanywa na wageni(wazungu) hivyo kusababisha baadhi ya maneno kutamkwa tofauti na yanavyo andikwa mfano....NJE, NGE...
kwa kuwa sasa kuna wataalam wa kutosha je si vema lugha hii ikasanifiwa tena kwa upya
 
'Mapungufu' si kiswahili sanifu.
 
Back
Top Bottom