Usanii Elimu ya juu.

Usanii Elimu ya juu.

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Siku izi ukitaka kujiunga na elimu ya juu, vyeti vyako vinatakiwa vikakaguliwe mahakamani kama ni feki au original. Yaani unampelekea hakimu ambeye awekaa kwenye dawati, hana database wala komputa ya kuzugia mbele yake. Bora hata angekua na divice ya kutoa mionzi ya kuwulikia vyeti. Kupiga cmu kuulizia chuo au shule husika hapiki, matokeo yake naombwa buku teni ili agonge vimuhuri kwenye coppy za vyeti. Huu usanii na ulaji Tanzania utaisha lini?Hawa mahakimu wanautaalamu gan na walisomea wapi mambo ya ukaguzi wa vyeti?
 
Nilidhani njia sahihi zaidi ni kwa vyuo vyenyewe kucheki na database ya baraza la mitihani!
 
badala ya kusonga mbele tunarudi rivasi.
 
Back
Top Bottom