For sure alikuwa anavimbiwa
Bahari ingekuwa wino
Mbingu ziwe karatasi
Miti yote iwe kalamu
Kila mtu duniani awe mwandishi
Kuandika upendo wangu kwako
Wino ungekwisha swit baby
Mmmh, msinipige
Hii niliipata kwa mmarangu mmoja
"Kila nikikuwaza, namaliza kichanecha ndizi."
daaaaaaaah!......
baba ubaya hapo ulijipangeje sasa mpwa?
Komaa kabisa kaka,
ukija kwangu siku nyingine uje umevaa la kupanda (kiatu), jaketi na suruali nguo zilikuwa na (zipu nyingiiiii) kama la Michael Jackson, mi sio wa kuchezea chezea!
Nilijibiwa hivo wakati namtokea mtoto mmoja Mkali wa kitaani!
View attachment 49382
Kuna mwengine anataka hela ya vocha anajifanya kukusimamisha halaf anaanza.
Jamaani! yaani wewe kijana umefanana na lonado di kaprio, khaaa! (wakati mzembe ukijiangalia kwenye kioo unajiona kabisa kwamba umefanana na Kibaki)
Natamani usiku isifike niendelee kukaa na wewe
lakini ndo hivyo tena mama karibu anarudi toka kazini
"Honey! kama wanaume ni simu basi wewe ni Iphone 4 na waliobakia ni nokia vitochi"............
Hapo jibaba unachekacheka tu kumbe wizi mtupu infakti ndo kwanza karudi kuongezwa protein mwilini na njemba nyengine.
niliposikia unaumwa, mi tayar nlikuwa nshakufa....ulipopona nami nikafufuka.
Sio marudio ni part 2, ile ya kwanza starring alikuwa boflo hii part 2 starring TeamoMbona marudio si juzi tu ilikuwapo jamani hii
Ndio zenu bana, ndio hiyo tunauchuna kwasababu mama zetu halaf hatuwezi kuishi bila kale kastarehe ka kuvutana manywele tu. Lakini |Mungu atatulipiahahahahaha! Hiyo kali lawyer.
Sio marudio ni part 2, ile ya kwanza starring alikuwa boflo hii part 2 starring Teamo
Yaani kile ki fifty souzend mnakitafuna kinyemela sio? Uchaguzi wa mwakani nampigia debe uporototumekutafuta sana na felo tablet.
Njoo hapa tupate tusker malt, unajilipia mwenyewe.
Tuko BM complex.