Kuna mtu mwenye vitukuu anasoma form two? Kama ka Lizzy bado kanakojoa kitandani.this is circa 1966 wakati kambarage (RIP) anaanzisha jkt bana. Hivi we hujui Husn na Lizzy wana vitukuu?
Khaaa!... Huyo alikuwa kauzu sana....laki 2 asubuhi asubuhi afu kwa fidel80 lol, alikosea njia!Hii ilinitokea mimi baada ya kumega mara moja nikapigwa mzinga wa laki 2 dah nikaangalia mlango wa kutokea
Jamani, khaaa!...Hehehehe.......
Umenikumbusha enzi hizooo za treni. Tukiwa wanafunzi tumepewa behewa letu zima. Kuna bibi alikuwa amekaa behewa jingine na chupa ya bia pembeni. Mshikaji akainyemelea ili amwibie bia. Akainyemelea na kuikamata akamimina mdomoni fasta. Kumbe bibi wa watu alikuwa sijui na TB, akikohoa anatemea makohozi kwa chupa..... Jamaa alitapikaje?
Mwisho wa hadisi.
Hadisi hii inatufundisha tisifanye masihara na makohozi.
Bahari ingekuwa wino
Mbingu ziwe karatasi
Miti yote iwe kalamu
Kila mtu duniani awe mwandishi
Kuandika upendo wangu kwako
Wino ungekwisha swit baby
Unapenda makohozi? Kohozi langu tamu kama blue band....😛eep:Jamani, khaaa!...
du,umepiga ikulu,ngoja wambea kina kloro na aspirin wamshtue babu DC leo ndo utalijua jiji.
Kuna mtu mwenye vitukuu anasoma form two? Kama ka Lizzy bado kanakojoa kitandani.
Umamzalilisha sana Kongosho asali ya ODM kusema amekua pamoja na hivyo vichipukizi.
Mtake razi kabla sijakuibukia kwa skriin hapo.
Afu tabia yako ya uchoyo hujaiacha tu?:A S 13::A S 13::A S 13: Mie sijasema kitu.
Bishanga anatakiwa apelekwe MOI ya Mirembe asee.... khaa!Eti babu DC kakua na Lizzy?
Na hicho kibukta chake, hizi ni tuhuma nzito kama kupeleka hela za radar kwenye madawati.
Hahahahaaaa! LF nimecheka mpaka machozi lolUsiku wa jana sijafumba macho nakuwaza wewe tu, teh teh teh kumbe uliamshwa kwa kumwagiwa maji na maza.
Afu tabia yako ya uchoyo hujaiacha tu?Likes Received3175
Join Date : 21st March 2011
Location : Location loading...
Posts : 8,936
Rep Power : 2917
Likes Given1567
Ndo Likes ngapi hizi umegawa?
Hahahahahaaaa! Daaah, kweli duniani kuna wizi a kila aina...lol."Honey! kama wanaume ni simu basi wewe ni Iphone 4 na waliobakia ni nokia vitochi"............
Hapo jibaba unachekacheka tu kumbe wizi mtupu infakti ndo kwanza karudi kuongezwa protein mwilini na njemba nyengine.
Baba ubaya ulimtokea mwanajeshi au?.. lol.. Mbavu zangu jamani...Komaa kabisa kaka,
ukija kwangu siku nyingine uje umevaa la kupanda (kiatu), jaketi na suruali nguo zilikuwa na (zipu nyingiiiii) kama la Michael Jackson, mi sio wa kuchezea chezea!
Nilijibiwa hivo wakati namtokea mtoto mmoja Mkali wa kitaani!
View attachment 49382
Fanya hima bana, wenzio post bila like ni sawa na ndoa bila kimwaga mkojo.Niko via mobile mara nyingi
Najitahidi sana kukompaset nikiwa kwenye intaneti kefu
Afu umenikumbusha, kumbe nimekaribia kufikisha mwaka hapa jei efu?
Ngoja niandae pati leo kule chit chat.
Fanya hima bana, wenzio post bila like ni sawa na ndoa bila kimwaga mkojo.
Nafanya Loading na offloading ya maumivu ya kinamama walotoka kujifunga na kujifungua..... We unafanya loading ya location gani?Afu maternity ward unatafuta nini?
Umekuwa mkunga?