Saivi kama umekuja kuona wasanii wa bongo wanapenda kukaaa sana midomoni mwa watu kuliko kazi zao. Yaani wanafanya mambo wazungumziwe wao na sio kazi zao. Japo kuna namna inawasaidia ila kuna namna inawapoteza kwenye Ramani ya usanii na kuonekana kanjanja tu.
View attachment 1638889
View attachment 1638890
View attachment 1638891
Hizo ni baadhi tu. Ila kilichonifurahisha kidogo ni hii style ya Diamond Platnumz ya kuja na ucomedian kwenye video zake [emoji1787]
Tulianza na Buti la jeje
View attachment 1638892
Sasa ivi naona tumeletewa SURUWALI LA WAAAH
View attachment 1638894
Hii kama zile PPE za madokta kujikinga na Korona ama white Trash Bags [emoji16]