Jitahidi hivo hivo.Bado mpaka leo sijapata kabisa courage ya kuwa na hiyo nyimbo ya "ushamba" kwnye playlist yangu..
Yani nashindwa
Hawa wanajifunza ushoga tu, sasa Konde Boy anavaa hereni za demu wake huku akisuka nywele ili walingane, na huyo Rayvanny sijuwi nisemeje....kalegeza macho utafikiri katoka kuliwa tigo ya 5G na Diamond?Saivi kama umekuja kuona wasanii wa bongo wanapenda kukaaa sana midomoni mwa watu kuliko kazi zao. Yaani wanafanya mambo wazungumziwe wao na sio kazi zao. Japo kuna namna inawasaidia ila kuna namna inawapoteza kwenye Ramani ya usanii na kuonekana kanjanja tu.
View attachment 1638889
View attachment 1638890
View attachment 1638891
Hizo ni baadhi tu. Ila kilichonifurahisha kidogo ni hii style ya Diamond Platnumz ya kuja na ucomedian kwenye video zake [emoji1787]
Tulianza na Buti la jeje
View attachment 1638892
Sasa ivi naona tumeletewa SURUWALI LA WAAAH
View attachment 1638894
Hii kama zile PPE za madokta kujikinga na Korona ama white Trash Bags [emoji16]
Anajiita sijui Nani halafu mwishoni anamalizia na BOY sijui mchicha mwiba huyuHuyo mrembo picha ya pili ni nani?[emoji39]
Nguo kama mabox [emoji41]View attachment 1638923
Nadhani huku ndiko Diamond anakoelekea huku [emoji1787][emoji23][emoji23]
RehemaVannesa -RayVannyHuyo mrembo picha ya pili ni nani?[emoji39]
Kilichonifurahisha zaidi ni style ya mavazi ya iyo nyimbo ya dimond na koff yan koff pamoja na lijitambi lake lakini kuna mahali kavaa croptop....[emoji16][emoji16][emoji16]Saivi kama umekuja kuona wasanii wa bongo wanapenda kukaaa sana midomoni mwa watu kuliko kazi zao. Yaani wanafanya mambo wazungumziwe wao na sio kazi zao. Japo kuna namna inawasaidia ila kuna namna inawapoteza kwenye Ramani ya usanii na kuonekana kanjanja tu.
View attachment 1638889
View attachment 1638890
View attachment 1638891
Hizo ni baadhi tu. Ila kilichonifurahisha kidogo ni hii style ya Diamond Platnumz ya kuja na ucomedian kwenye video zake [emoji1787]
Tulianza na Buti la jeje
View attachment 1638892
Sasa ivi naona tumeletewa SURUWALI LA WAAAH
View attachment 1638894
Hii kama zile PPE za madokta kujikinga na Korona ama white Trash Bags [emoji16]
hii sio ya zamani hii ni mpya kabisa, mabishoo wa siku hizi unaweza kaa nao maskani ukajikuta umedisa.../
mara vipensi mara vibukta vya kuchanika dunia imekwisha, mwanaume anatamanisha../
Kilichonifurahisha zaidi ni style ya mavazi ya iyo nyimbo ya dimond na koff yan koff pamoja na lijitambi lake lakini kuna mahali kavaa croptop....[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1]this is truly insaneView attachment 1638923
Nadhani huku ndiko Diamond anakoelekea huku [emoji1787][emoji23][emoji23]
My ribs oooh[emoji16][emoji16]Yaani unaweza sema Koffi ndo angekua anawapa displine vijana namna gani wavae kumbe na ye zee la nyeti [emoji23][emoji23][emoji23]
My ribs oooh[emoji16][emoji16]
Kama unazo za Kanyaga na baba lao na hiyo chukua tuBado mpaka leo sijapata kabisa courage ya kuwa na hiyo nyimbo ya "ushamba" kwnye playlist yangu..
Yani nashindwa
Hahahaa king mwenzangu hata hizo sinaKama unazo za Kanyaga na baba lao na hiyo chukua tu
Da nimeangalia wimbo haueleweki views nusu billion. Hayo mavazi, Vazi la Korona la Dai likasome.Umeshaona nguo alizovaa Kanye West kwenye wimbo wa “I love it”?
Kuna ubaya kwaniView attachment 1638923
Nadhani huku ndiko Diamond anakoelekea huku [emoji1787][emoji23][emoji23]