Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Hakika huu ni usanii mkubwa na very calculated.
CCM ambayo ndio ina dhamana ya kuongoza serikali inatumia ujinga wetu kutuhadaa ili tuone wanastahili kuendelea kushika dhamana hiyo pamoja na madudu yao ya kutisha.
Kwa mujibu wa sheria Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali CAG ni mtu independent na wa muhimu sana.
Yupo pale kufichua madhaifu na kushauri kitaalamu la kufanya lakini pia kugundua wizi na ubadhilifu wa fedha na mali za umma na ripoti yake baada ya kujadiliwa ni jukumu la serikali kuchukua hatua stahili ambazo ni kupeleka mahakamani mashauri hayo ili adhabu stahili ichukuliwe.
Sasa kwa miaka ya karibuni ripoti zinawekwa makabatini na kinachofanyika mfano kama Arusha, RC anaitisha mikutano anaita ya haki kisha mama ya watu wanajaa.
Kinachofuata ni kuita watendaji wabaya na wazuri hadharani kujibu tuhuma.
Na kwa ujinga wetu Watanzania wengi ndio tunapata nafasi ya kuwazomea kwa vile tunaona wanajidai sana. Tukumbuke hawa sio wanasiasa ni wahandisi, madaktari, wachumi nk hivyo majibu yao hayawezi ridhisha la saba B au mbumbumbu hivyo wanaishia kuzomea na kuona safi na hadithi inaishia hapo.
Hivi unaacha kuisimamia hatua zichukuliwe ripoti ya CAG unatumia mikutano ambayo hata wote washangilie hauwezi kuwa ushahidi mahakamani na hatua zikachukuliwa?
Hizii ni HADAA NA KUWABEZA wananchi maana utasikia "kamanda TAKUKURU shughulikia huyu, hebu ondoka naye" kisa mwananchi mmoja alilalamika hapo kisha Makonda anaondoka na HADITHI INAISHIA HAPO.
Nani kesha wahi kufilisiwa na mahakama kisa maamuzi ya mikutanoni?
Hao watumishi wanasimamiwa na CCM, why hawataki kuzingatia ripoti za CAG na kuchukua hatua badala yake mnafanya mbwembwe za misafara eti safari ya haki?
Kweli wanatuona zumbukuku maana wanadhani hatuoni hao wachache wanavyotafuna nchi kisha tunazugwa.