Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,400
- 320
Hao uliowataja ndugu yangu wamegombea na wananchi wenyewe wamewachagua tofauti na mtu wa kuteuliwa kiuswahiba na JK hoja yako haiingi kwenye hii tuhuma
Mimi sioni tatizo kuteuliwa kijana mdogo, hata kama kasoma nje... La msingi hapa ni kazi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwani kuna tatizo gani mbona Mbunge wa Mbozi Mashariki bwana D.Shilinde naye amemaliza chuo mwaka huu, dogo yule Kigoma (Mkosamali) ndiyo kwanza anaingia final yr?
Upinzani wao hakuna neno wakichaguliwa na CCM ndio kunakuwa na taabu kaka hata kama mtu akiwa na sifa hujui akinya anye kuku tu? aaah kaka usiulize maswali mengine uchune tu hawa ndio ndugu zetu tuwavumilie na tuonyeshe ushirikiano nao.
Hao uliowataja ndugu yangu wamegombea na wananchi wenyewe wamewachagua tofauti na mtu wa kuteuliwa kiuswahiba na JK hoja yako haiingi kwenye hii tuhuma
SALIM AHMED SALIM.....ALITEULIWA NA NYERERE akiwa na MIAKA 24
sioni tatizo kwa sababu mkuu wa wilaya hana kazi yoyote, kwa hiyo hata awepo au asiwepo the difference is zeroKuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo kikuu nje ya nchi miezi 6 iliyopita hivyo kuleta maswali ni jinsi gani atakuwa na uwezo wa kuongoza wilaya. Habari za kina kuhusu uteuzi huu wa kiswahiba kama ilivyo ada ya JK kufuata....
Humu ndani kuna watu wana wivu wa kijinga na hawatapata maendeleo kamwe iwapo wataendekeza majungu na mapipa!Mwezio kapata ulaji mpe hongera wewe unaanza eti mdogo,eti kasoma nje duh,WATU WABAYA SANA.JE UNGENIFAHAMI MIMI NI NANI NADHANI UNGEHAMA HAPA JF!
ACHA WIVU FANYA KAZI UOKOE FAMILIA YAKO
acha wivu wa kike wewe ulitaka ateuliwe babu yako kijijini ndio uone amemteua mwenye umri sahihi?
So what? mnataka turudi zama za ujima?hata Nyerere alimteua salim Ahmed Salim Kuwa Balozi akiwa na miaka 18 tuu! huna hoja1 kwanza mtu mwenyewe na Cv yake huijui kwanini umuhukumu kuwa hana uwezo? mtachanganyikiwa sana mwaka huu!
Humu ndani kuna watu wana wivu wa kijinga na hawatapata maendeleo kamwe iwapo wataendekeza majungu na mapipa!Mwezio kapata ulaji mpe hongera wewe unaanza eti mdogo,eti kasoma nje duh,WATU WABAYA SANA.JE UNGENIFAHAMI MIMI NI NANI NADHANI UNGEHAMA HAPA JF!
ACHA WIVU FANYA KAZI UOKOE FAMILIA YAKO
Kuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo kikuu nje ya nchi miezi 6 iliyopita hivyo kuleta maswali ni jinsi gani atakuwa na uwezo wa kuongoza wilaya. Habari za kina kuhusu uteuzi huu wa kiswahiba kama ilivyo ada ya JK kufuata....
Kwani kuna tatizo gani mbona Mbunge wa Mbozi Mashariki bwana D.Shilinde naye amemaliza chuo mwaka huu, dogo yule Kigoma (Mkosamali) ndiyo kwanza anaingia final yr?
/QUOTE]
UNAJUA MAANA YA KUTEULIWA NA KUCHAGULIWA SAMAHANI KWA HILI???THEN HUYO MBUNGE KATEULIWA AMA KACHAGULIWA TUPUNGUZE UCHAKACHUAJI
Kwa Mkuu wa Wilaya ana kazi gani maana zaidi ya kuwapokea Salama Kikweta, Riziwani, Makamba, Miraji, Khalfan na Januari! Nilisahau na kusindikiza MWENGE