Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Hivi watu huwa tunasoma ili nini??Manze, inabidi tuchane ukweli mchungu bila kuficha makucha, kwa sababu hii hali is getting out of hand na ni some real-life fuckery. Nimepiga kitabu mpaka nimevuta Masters yangu fresh, nikazama mtaani nikijua nina lock kila kitu, lakini kumbe nimeingizwa mjini na huu mfumo wa kishamba. Hii serikali is straight-up killing the youth, wanazima ndoto zetu mchana kweupe huku wakitupiga fix za kijinga kila kukicha. We’ve sacrificed our lives in those cold libraries, grinding like crazy, thinking education was the way out of the trenches. But hell no! Huku nje ni kama tuko kwenye movie ya kutisha ambapo msomi ndio anakuwa wa kwanza kuchinjwa. It’s a total betrayal, manze. Hawa mapanya wanatuona sisi ni garbage, wanatumia akili zetu kutu-manipulate huku wao wakizidi kunenepa kwa kodi zetu. It’s some foul-ass shit watching your potential being flushed down the toilet by a bunch of corrupt snitches.
Alafu sasa, hapo ndio kicheko kinapokuja, wanatuambia "tujiajiri" wakati wanajua fika the game is rigged to make us fail. Unajilipua mtaani, unatafuta kamtaji kwa shida, lakini ukianza tu, hawa mbwa wa serikali wanakuja kukuotea kama mafisi. Mara TRA wanakuandama na kodi za kinyonyaji ambazo hata biashara haijaanza kuzalisha, mara mgambo wanakuja kukupiga pingu kisa leseni wakati hata ofisi yenyewe ni chumba kimoja cha hovyo. They are literally suffocating every small hustle we start. It’s a fucking shakedown! Wanatuminya mpaka tunakosa hewa, kisha wanashangaa kwanini vijana wanaishia kwenye madawa au uhalifu. Unajaribu kufuata taratibu, unakutana na red tapes ambazo zimeundwa kukuliza, huku ukiombwa rushwa kila kona na hawa greedy-ass bureaucrats. This system is a bitch, and it’s designed to keep us broke and begging for crumbs.
Hii dharau imepitiliza, man. Tunazungumza kuhusu wasomi wenye IQ kubwa lakini mfukoni kuna njaa inayouma kuliko risasi. Hatuwezi kuendelea kuvumilia huu usenge wa kuambiwa hakuna ajira wakati wao watoto wao wanapachikwa kwenye maofisi makubwa bila hata kuwa na GPA ya kueleweka. This systemic oppression is a ticking time bomb, I’m telling you. Mwanaharakati mwenye Masters anaishia kuuza karanga barabarani huku akili yake ikiwa imeoza kwa stress. It’s a fucking tragedy to see the brightest minds being wasted like this. Hii serikali is playing with the future of this nation, and honestly, they don’t give a single JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala about us. Inatakiwa wajue kwamba you can’t keep squeezing people who have already hit rock bottom. Hii ni dharau ya kiwango cha lami, na lazima tujue kuwa we are being led by a bunch of vultures who only care about their own pockets. The youth are tired, we are broke, and we are fucking angry!
Paragraph huzioni kiongozi au unataka zile za shule ya msingi kwamba unafanya indent sio?Wenye masters ndio mnaandika bila paragraph?
Amefanya vizuri ku editParagraph huzioni kiongozi au unataka zile za shule ya msingi kwamba unafanya indent sio?
Tena ya msingi sana ila tunapishana mawazo ktk kulielewa andiko hilo.Ana hoja ujue
Pole sana Mkuu, umeandika kwa uchungu sana najaribu kuvaa viatu vyako ktk hilo nabakia kusema Pole sana Mungu atufanyie njia sote tupite kwa hekima ktk hilo.Manze, inabidi tuchane ukweli mchungu bila kuficha makucha, kwa sababu hii hali is getting out of hand na ni some real-life fuckery.
Nimepiga kitabu mpaka nimevuta Masters yangu fresh, nikazama mtaani nikijua nina lock kila kitu, lakini kumbe nimeingizwa mjini na huu mfumo wa kishamba.
Hii serikali is straight-up killing the youth, wanazima ndoto zetu mchana kweupe huku wakitupiga fix za kijinga kila kukicha.
We’ve sacrificed our lives in those cold libraries, grinding like crazy, thinking education was the way out of the trenches.
But hell no! Huku nje ni kama tuko kwenye movie ya kutisha ambapo msomi ndio anakuwa wa kwanza kuchinjwa. It’s a total betrayal, manze.
Hawa mapanya wanatuona sisi ni garbage, wanatumia akili zetu kutu-manipulate huku wao wakizidi kunenepa kwa kodi zetu.
It’s some foul-ass shit watching your potential being flushed down the toilet by a bunch of corrupt snitches.
Alafu sasa, hapo ndio kicheko kinapokuja, wanatuambia "tujiajiri" wakati wanajua fika the game is rigged to make us fail.
Unajilipua mtaani, unatafuta kamtaji kwa shida, lakini ukianza tu, hawa mbwa wa serikali wanakuja kukuotea kama mafisi.
Mara TRA wanakuandama na kodi za kinyonyaji ambazo hata biashara haijaanza kuzalisha, mara mgambo wanakuja kukupiga pingu kisa leseni wakati hata ofisi yenyewe ni chumba kimoja cha hovyo.
They are literally suffocating every small hustle we start. It’s a fucking shakedown!
Wanatuminya mpaka tunakosa hewa, kisha wanashangaa kwanini vijana wanaishia kwenye madawa au uhalifu.
Unajaribu kufuata taratibu, unakutana na red tapes ambazo zimeundwa kukuliza, huku ukiombwa rushwa kila kona na hawa greedy-ass bureaucrats.
This system is a bitch, and it’s designed to keep us broke and begging for crumbs.
Hii dharau imepitiliza, man. Tunazungumza kuhusu wasomi wenye IQ kubwa lakini mfukoni kuna njaa inayouma kuliko risasi.
Hatuwezi kuendelea kuvumilia huu usenge wa kuambiwa hakuna ajira wakati wao watoto wao wanapachikwa kwenye maofisi makubwa bila hata kuwa na GPA ya kueleweka.
This systemic oppression is a ticking time bomb, I’m telling you. Mwanaharakati mwenye Masters anaishia kuuza karanga barabarani huku akili yake ikiwa imeoza kwa stress.
It’s a fucking tragedy to see the brightest minds being wasted like this. Hii serikali is playing with the future of this nation, and honestly, they don’t give a single JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala about us. Inatakiwa wajue kwamba you can’t keep squeezing people who have already hit rock bottom.
Hii ni dharau ya kiwango cha lami, na lazima tujue kuwa we are being led by a bunch of vultures who only care about their own pockets.
The youth are tired, we are broke, and we are fucking angry!
Superiority or inferiority complex?Tunazungumza kuhusu wasomi wenye IQ kubwa lakini mfukoni kuna njaa inayouma kuliko risasi.
Hii nchi inataratibu zake mkuu. Tujitahidi kufuata taratibu, tutafika tu.Unajilipua mtaani, unatafuta kamtaji kwa shida, lakini ukianza tu, hawa mbwa wa serikali wanakuja kukuotea kama mafisi.
Mara TRA wanakuandama na kodi za kinyonyaji ambazo hata biashara haijaanza kuzalisha, mara mgambo wanakuja kukupiga pingu kisa leseni wakati hata ofisi yenyewe ni chumba kimoja cha hovyo.
ngoja mboga mboga waje watasema ujiajiri huku wenyewe watoto wao wameweka kwenye system hawataki kujiajiri zaidi ya kuwanunulia vijana familia maskini pikipiki za bodaboda wakavunjike miguu barabaraniManze, inabidi tuchane ukweli mchungu bila kuficha makucha, kwa sababu hii hali is getting out of hand na ni some real-life fuckery.
Nimepiga kitabu mpaka nimevuta Masters yangu fresh, nikazama mtaani nikijua nina lock kila kitu, lakini kumbe nimeingizwa mjini na huu mfumo wa kishamba.
Hii serikali is straight-up killing the youth, wanazima ndoto zetu mchana kweupe huku wakitupiga fix za kijinga kila kukicha.
We’ve sacrificed our lives in those cold libraries, grinding like crazy, thinking education was the way out of the trenches.
But hell no! Huku nje ni kama tuko kwenye movie ya kutisha ambapo msomi ndio anakuwa wa kwanza kuchinjwa. It’s a total betrayal, manze.
Hawa mapanya wanatuona sisi ni garbage, wanatumia akili zetu kutu-manipulate huku wao wakizidi kunenepa kwa kodi zetu.
It’s some foul-ass shit watching your potential being flushed down the toilet by a bunch of corrupt snitches.
Alafu sasa, hapo ndio kicheko kinapokuja, wanatuambia "tujiajiri" wakati wanajua fika the game is rigged to make us fail.
Unajilipua mtaani, unatafuta kamtaji kwa shida, lakini ukianza tu, hawa mbwa wa serikali wanakuja kukuotea kama mafisi.
Mara TRA wanakuandama na kodi za kinyonyaji ambazo hata biashara haijaanza kuzalisha, mara mgambo wanakuja kukupiga pingu kisa leseni wakati hata ofisi yenyewe ni chumba kimoja cha hovyo.
They are literally suffocating every small hustle we start. It’s a fucking shakedown!
Wanatuminya mpaka tunakosa hewa, kisha wanashangaa kwanini vijana wanaishia kwenye madawa au uhalifu.
Unajaribu kufuata taratibu, unakutana na red tapes ambazo zimeundwa kukuliza, huku ukiombwa rushwa kila kona na hawa greedy-ass bureaucrats.
This system is a bitch, and it’s designed to keep us broke and begging for crumbs.
Hii dharau imepitiliza, man. Tunazungumza kuhusu wasomi wenye IQ kubwa lakini mfukoni kuna njaa inayouma kuliko risasi.
Hatuwezi kuendelea kuvumilia huu usenge wa kuambiwa hakuna ajira wakati wao watoto wao wanapachikwa kwenye maofisi makubwa bila hata kuwa na GPA ya kueleweka.
This systemic oppression is a ticking time bomb, I’m telling you. Mwanaharakati mwenye Masters anaishia kuuza karanga barabarani huku akili yake ikiwa imeoza kwa stress.
It’s a fucking tragedy to see the brightest minds being wasted like this. Hii serikali is playing with the future of this nation, and honestly, they don’t give a single JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala about us. Inatakiwa wajue kwamba you can’t keep squeezing people who have already hit rock bottom.
Hii ni dharau ya kiwango cha lami, na lazima tujue kuwa we are being led by a bunch of vultures who only care about their own pockets.
The youth are tired, we are broke, and we are fucking angry!
tunasoma ili tuajiriwe, ndivyo mentality ilivyojengeka tangu zama za utawala wa kikoloniHivi watu huwa tunasoma ili nini??
Unaelewa kweli paragraph ni nini na zinakaaje? Acha kumuonea mleta mada. 😂😂Wenye masters ndio mnaandika bila paragraph?
sisi tumemuelewa vizuri!Wenye masters ndio mnaandika bila paragraph?