Usanii wa Serikali na mauti ya Wasomi: Masters yangu imekuwa kitambaa cha deki mtaani

Masters kwa Africa ina salary scale kwenye Learning Institutions na kwenye Private Sector tu.

Huku kwenye Utumishi wa Umma, Masters ina advantage kwenye Managerial Positions tu ambazo ili uzifikie inabidi mars nyingi uanzie huku chini ujenge CV yako kwanza.

Kada pekee ambayo ina Salary Scale kwenye levels zote za Utumishi wa Umma ni MD (Doctor of Medicine), ndiyo hao Specialists sasa wa mahospitalini.

Lakini kada zoooote unazozijua wewe kama Ualimu, Uhandisi, Ufamasia, Uhasibu, Uuguzi nk hauna Salary Scale kwenye Utumishi wa Umma (Except kwenye Learning Institutions). Yani mtumishi wa umma akienda kusoma akarudi kazini inakuwa ni added advantage kwake tu ila haji kuanza na Salary Scale mpya ya Masters maana HAIPO.

Its a fucked up system, ukichelewa kuijua ukaja kujua late kama wewe unaweza kuingia kwenye sonona.
 
This country is a bulls••t hole, niggar! Fvck them.
 
Nimeumia sn mkuu huu uzi wako, ndiyo maana mi siipendi ccm na maccm wote na serikali zote fake za ccm....tupo ukwaman kbs kila ktu kmevurugwa na ccm elimu kwisha, hospital kwsha, maji hakuna, ajira hakuna, kujiajiri hakuna mpk mwehu majaliwa alishauri vjana waende veta akasahau pia kuna vjana wengi sn wamehtimu veta na hawana dili wanatangatanga tu, elimu ya bongo haina thaman tn.
 
 
Hatusomi Ili tuajiriwe, serikali zote hu-survive kupitia kodi
 
Unasoma master's na GPA ya 2+ lazma ulalamike tu, ungekua na GPA kali Undergraduate nina uhakika asilimia 75 ungekua unafundisha vyuon uko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…