Usauri wenu wadau

Kasema anaye wake ampendaye..
Tafuta na wewe wa kwako akupendaye..full stop!!
 
dogo tulia asikupe presha wala nini...warembo wapo kibao utapata wa type yako mtakayependana kwa dhati Inshaallah!
 
Duh huyu dada kanikumbusha mbali sana. Na mimi nimefanya hako kamchezo mara nyingi. Ukweli ni kwamba hakujua hisia zake zikoje kwako labda alihisi anakupenda kwa muonekano wa juu, lakini baada ya kukaa na wewe karibu inawezekana ongea yako, busara yako, sauti yako na upeo wako kiakili au jinsi unavyoexpress mapenzi kwake akagundua wewe sio aina ya mwanaume aliyekuwa anatarajia awe naye. Pole sana but dont blame her
 

well said wewe unajua sana psychology ya mabinti, mleta uzi chukua hii
 
twent five old 25 siunajua tena unapoanza mapenzi ukubwani

Hii sio kuanza mapenzi ukubwani, ni kudisco mapenzi uzeeni. Wenzio by the time they were 25 walikuwa married tayari.
anyways, unaendesha gari gani?
 
mh mie mezichoka choka hizi threads za aina hii jaman.................
 
mh mie mezichoka choka hizi threads za aina hii jaman.................

ulitaka tuweke aina gani ndugu wote walio changia mbona wameona inamaana wakatoa maoni yao pia nawe asante
 
sikia sio kuwa haina maana, issue ni kuwa threads za aina hii ziko nyingi, karibu kila siku kuna mtu anaomba ushaur kama unaoutaka wewe.............

maana yangu hapa ni kuwa ukiingia humu uwe unasoma na threads zilizopita za wengine hii ni kuzuia kurudia rudia aina moja ya thread, mwisho wa siku tunakaa kurudia rudia tuliyoyasema huko mwanzoni...........

hoppe umenielewa mdogo wangu Luthar[QUOTE=Luthar;4537037]ulitaka tuweke aina gani ndugu wote walio changia mbona wameona inamaana wakatoa maoni yao pia nawe asante[/QUOTE]
 

Hata angekukubalia Jiulize mngekuwa wangapi?"kumbuka unapom approach msichana siku zote unamtoa mtu au una share na mtu bila wewe kujua.Huyo kaamua kukwambia na ikibidi akuonyeshe ili upande matawi kuliko kumkosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…