Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh huyu dada kanikumbusha mbali sana. Na mimi nimefanya hako kamchezo mara nyingi. Ukweli ni kwamba hakujua hisia zake zikoje kwako labda alihisi anakupenda kwa muonekano wa juu, lakini baada ya kukaa na wewe karibu inawezekana ongea yako, busara yako, sauti yako na upeo wako kiakili au jinsi unavyoexpress mapenzi kwake akagundua wewe sio aina ya mwanaume aliyekuwa anatarajia awe naye. Pole sana but dont blame her
twent five old 25 siunajua tena unapoanza mapenzi ukubwani
Umesema una umri gani vile?
dogo tulia asikupe presha wala nini...warembo wapo kibao utapata wa type yako mtakayependana kwa dhati Inshaallah!
komaa tuu utampata tuu hana jipya huyo.
mh mie mezichoka choka hizi threads za aina hii jaman.................
Ee bwana nahitaji ushauri wenu wa kauli kuna demu mmoja nimemzimia sana nimemu sms akaniambia atanijibu nikamfuaja home kwao nikamwambia anijibu akasema atanijibu kwenye sms mara akaniambia kazi kwangu mlango u wazi nikamwambia basi hata nimubusu nikapaki gari sheli tukaagana vizuri nafika home akanisms kwamba mchana aliona akiniambia ntazimia ninae nimpendae.sijapata chakumjibu usauri jamani