ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Na mbona hio kawaida sana je ukienda site visiting kwenye camp za mining operation za wazungu si ndo utapagawa...kule kuna posho ya induction kuna ya visiting kuna ya meeting yaani unaenda siku mbili tu unarudi na 1.4 mpk unashangaaKijana kafunguka kwamba hali yake sio mbaya😁kuna misimu anatajirika