ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Na mbona hio kawaida sana je ukienda site visiting kwenye camp za mining operation za wazungu si ndo utapagawa...kule kuna posho ya induction kuna ya visiting kuna ya meeting yaani unaenda siku mbili tu unarudi na 1.4 mpk unashangaaKijana kafunguka kwamba hali yake sio mbaya😁kuna misimu anatajirika
Ukishasikia ajira ni ya mzungu inayohusisha site visit we ikibidi hata kutafta mganga fanya hivyo 😁 utanishukuru baadae.Na mbona hio kawaisa sana je ukienda site visiting kwenye camp za mining operation za wazungu si nso utapagawa...kule kuna posho ya induction kuna ya visiying kuna ya meeting yaani unaenda siku mbili yu unarudi na 1.4 mpk unashangaa
Wahitaji wataflow inbox huko.. fursa sio kama watu hawazitaki. Unajua katika sehem ambayo nimekutana na vijana waliochapwa na maisha, waliokosa matumaini katika maisha yangu jf ni top.Kijana kafunguka kwamba hali yake sio mbaya😁kuna misimu anatajirika
Weka Email hapa tutume CV zetuNa mbona hio kawaida sana je ukienda site visiting kwenye camp za mining operation za wazungu si ndo utapagawa...kule kuna posho ya induction kuna ya visiting kuna ya meeting yaani unaenda siku mbili tu unarudi na 1.4 mpk unashangaa
Hali tete mtaani tuoneane huruma tuWahitaji wataflow inbox huko.. fursa sio kama watu hawazitaki. Unajua katika sehem ambayo nimekutana na vijana waliochapwa na maisha, waliokosa matumaini katika maisha yangu jf ni top.
Mpaka leo sijajua jf inatakiwa kifanyike nn kukomboa kundi kubwa la hawa vijana. Hali zao ni mbaya kwelikweli
Hata mm winga napataga nafuu japo sina uwezo wa kusaidia mtu. Kuna mtu anatembeaga kwa mguu kutoka posta hadi kawe humuhumuHali tete mtaani tuoneane huruma tu
😂😂😂 sinaga iyo tabia ataaSitaki usije nianika humu siku ukikwazika...ukanidhalilsha...🤣🤣🤣🤣