Usawa: Naibu spika ni mkristo wa Bara, spika awe mwislamu wa Zanzibar

Usawa: Naibu spika ni mkristo wa Bara, spika awe mwislamu wa Zanzibar

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Naibu spika Tulia Mwansasasu tayari ni Mkristo mwanamke wa bara, inapendeza apika mpya awe mwislamu mwanaume hasa akitokea zanzibar
 
Naibu spika Tulia Mwansasasu tayari ni Mkristo mwanamke wa bara, inapendeza apika mpya awe mwislamu mwanaume hasa akitokea zanzibar
Naomba kufahamu.
Nchi hii, viongozi ni lazima wawe Islams na Christians pekee?

Mbona mnaingia chaka nyie?
 
Naibu spika Tulia Mwansasasu tayari ni Mkristo mwanamke wa bara, inapendeza apika mpya awe mwislamu mwanaume hasa akitokea zanzibar
Mbona rais bara mwisilam,na zenji ni mwisilamu anyway speaker akiwa mwisilamu mnafaidika nini au mna agenda ya siri juu ya hili taifa nyie wakina Mwamedi?
 
Naibu spika Tulia Mwansasasu tayari ni Mkristo mwanamke wa bara, inapendeza apika mpya awe mwislamu mwanaume hasa akitokea zanzibari
Hii ni Hoja mfu Dini ya Mtu haitusaidii chochote Wananchi . Napendekeza Mtu mwenye sifa stahiki achaguliwe kuwa Spika wa Bunge.
 
Back
Top Bottom