Usawa: Naibu spika ni mkristo wa Bara, spika awe mwislamu wa Zanzibar

Usawa: Naibu spika ni mkristo wa Bara, spika awe mwislamu wa Zanzibar

Napinga hoja,mpaka pale Zanzibar mkianza kujitegemea na rasimu ya warioba ifanyiwe kazi
Maana hii mikopo!!! Ataonewa mkubwa tu,dogo linabaki kudeka tu
 
Naibu spika Tulia Mwansasasu tayari ni Mkristo mwanamke wa bara, inapendeza apika mpya awe mwislamu mwanaume hasa akitokea zanzibar
Hivi mtaacha ubaguzi lini? Hakuna haja ya kuanza kutazama kabila wala dini ktk kumchagua kiongozi.
 
Hebu nikumbushe kipindi Cha JK makamu wa rais alikuwa dini gani. Nikumbushe Sasa hivi raisi wa TZ ni dini gani kutoka wapi na raisi wa Zenji ni dini gani kutoka wapi? Hebu sema huo uwiano unaoutaka kama pia unatekelezwa Z'bar au wakristo hawapo?
 
Wapemba kwa kupenda kitonga...ndio maana vijana weng wameharibika
 
Naibu spika Tulia Mwansasasu tayari ni Mkristo mwanamke wa bara, inapendeza apika mpya awe mwislamu mwanaume hasa akitokea zanzibar
usilete masuala ya udini hapa, tunachotaka spika mchapakazi mambo ya anatoka wapi sio sawa kwa sasa bali awe mweledi, mtiifu, mwenye mapenzi mema na nchi yake na mwenye msimamo, basi.
 
Hawa watu kichwani sijui uwaga na funza sijawahi kuona mzanzibar asiwaze ubaguzi ubaguzi

No wonder hata darasani ni washika mikia
 
Back
Top Bottom