Hivi mtaacha ubaguzi lini? Hakuna haja ya kuanza kutazama kabila wala dini ktk kumchagua kiongozi.Naibu spika Tulia Mwansasasu tayari ni Mkristo mwanamke wa bara, inapendeza apika mpya awe mwislamu mwanaume hasa akitokea zanzibar
Dawa ni moja tu.Etii jamani sasa sisi wakina Freemason na wasabato tutakuwa raisi lini?
we ni mdini.Naibu spika Tulia Mwansasasu tayari ni Mkristo mwanamke wa bara, inapendeza apika mpya awe mwislamu mwanaume hasa akitokea zanzibar
usilete masuala ya udini hapa, tunachotaka spika mchapakazi mambo ya anatoka wapi sio sawa kwa sasa bali awe mweledi, mtiifu, mwenye mapenzi mema na nchi yake na mwenye msimamo, basi.Naibu spika Tulia Mwansasasu tayari ni Mkristo mwanamke wa bara, inapendeza apika mpya awe mwislamu mwanaume hasa akitokea zanzibar