Kwanini, mshahara wa Mtumishi ngazi ya cheti haulingani na ngazi ya shahada wakati wote ni binadamu wenye Mahitaji?Serikali imeongeza posho ya kujikimu safarini kutoka shs. 120,000 hadi shs. 250,000 kwa daraja la juu na kutoka shs. 80,000 hadi shs. 100,000 kwa sisi makabwela.
Ukiangalia hayo mabadiliko utaona kwamba wakubwa wamejiongezea hizo posho kwa zaidi ya 108% lakini nyongeza ya sisi hohe hahe ni kiduchu tu cha 25%!!!
Kuna justification gani ya kuwa na tofauti kubwa ya 83% kati ya nyongeza ya makundi haya ya binadamu?
Wao hawana? Zile LSSE ni za nani?Si mna Mishahara?
Kwanini, mshahara wa Mtumishi ngazi ya cheti haulingani na ngazi ya shahada wakati wote ni binadamu wenye Mahitaji?
Oneeni huruma wananchi wanaolima kwa jembe la mikono mkatae hizo posho ziwatunze wazeeWao hawana? Zile LSSE ni za nani?
Ndumbaro nadhani atakuwa alijichanganya wakati anaongea, maana ukiangalia documents zinaonyesha ongezeko ni kutoka 120k mpaka 150k kwa hiyo kada ya juu na siyo 250k kama aliyotamka yeye. Hopeful watatoa maelezo ya kueleweka
Nchi iko na manyang'au huruma itoke wapi?Oneeni huruma wananchi wanaolima kwa jembe la mikono mkatae hizo posho ziwatunze wazee
Wawe na soniNchi iko na manyang'au huruma itoke wapi?
Kwahiyo Mtumishi Kama Yuko Musoma, anatakiwa kutumia mshahara wake ambao na wenyewe Ni kiduchu kwenda Dodoma kufanya kazi za serikali??Oneeni huruma wananchi wanaolima kwa jembe la mikono mkatae hizo posho ziwatunze wazee
Kaa kimya weye sindano ingie...Serikali imeongeza posho ya kujikimu safarini kutoka shs. 120,000 hadi shs. 250,000 kwa daraja la juu na kutoka shs. 80,000 hadi shs. 100,000 kwa sisi makabwela.
Ukiangalia hayo mabadiliko utaona kwamba wakubwa wamejiongezea hizo posho kwa zaidi ya 108% lakini nyongeza ya sisi hohe hahe ni kiduchu tu cha 25%!!!
Kuna justification gani ya kuwa na tofauti kubwa ya 83% kati ya nyongeza ya makundi haya ya binadamu?
Hata ukijibiwa hutaelewaHujanijibu swali langu. Nimeuliza justification ya tofauti hiyo ya nyongeza?
Tokea lini ulisikia kuna usawa kati ya maboss na watumishi wa chini? Dunia imeumbwa hivyo, kubaliana nayo tu, kama hutaki acha kazi.Serikali imeongeza posho ya kujikimu safarini kutoka shs. 120,000 hadi shs. 250,000 kwa daraja la juu na kutoka shs. 80,000 hadi shs. 100,000 kwa sisi makabwela.
Ukiangalia hayo mabadiliko utaona kwamba wakubwa wamejiongezea hizo posho kwa zaidi ya 108% lakini nyongeza ya sisi hohe hahe ni kiduchu tu cha 25%!!!
Kuna justification gani ya kuwa na tofauti kubwa ya 83% kati ya nyongeza ya makundi haya ya binadamu?
Hivi Per diem za nje Katibu Mkuu Ndumbaro kakaa kimya, kaficha nn?Ongezeko la foreign perdiem mkitangaziwa mtapata vidonda via tumbo bora waendelee kukaa kimya