Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli, ni 120,000 to 250,000 kwa daraja la juuNdumbaro nadhani atakuwa alijichanganya wakati anaongea, maana ukiangalia documents zinaonyesha ongezeko ni kutoka 120k mpaka 150k kwa hiyo kada ya juu na siyo 250k kama aliyotamka yeye. Hopeful watatoa maelezo ya kueleweka
Laki tatu mpaka tano ndo utalinganisha na milioni mbili na ushee??Si mna Mishahara?
Si mna Mishahara?
Sawa tusubiri tusikie tena, me nimeona 120k to 150kSi
Sio kweli, ni 120,000 to 250,000 kwa daraja la juu
Usilete ya Magufuli wewePosho zote zifutwe,hazina maana, wanufaika ni wachache,
Ambao wapo uraiani hata hiyo laki ni changamoto jeLaki tatu mpaka tano ndo utalinganisha na milioni mbili na ushee??
Kwani hufanyagi extra dutyPosho ya kujikimu sijui Mimi mwalimu wa shule ya Msingi Namanyele nafaidikaje hapa🙄
Namanyele nkasi hapo au sio,,,, mi npo kirando hapa kambini[emoji38]Posho ya kujikimu sijui Mimi mwalimu wa shule ya Msingi Namanyele nafaidikaje hapa[emoji849]
Kama ni hivyo kuwa za foregn travel ni balaa basi watasafiri kama Mbwa aliyepotezwa kwa miruzi!Ongezeko la foreign perdiem mkitangaziwa mtapata vidonda via tumbo bora waendelee kukaa kimya
Wewe endelea na kazi ya wito.Posho ya kujikimu sijui Mimi mwalimu wa shule ya Msingi Namanyele nafaidikaje hapa🙄
Unamlalamikia nani?????Laki tatu mpaka tano ndo utalinganisha na milioni mbili na ushee??
Serikali imeongeza posho ya kujikimu safarini kutoka shs. 120,000 hadi shs. 250,000 kwa daraja la juu na kutoka shs. 80,000 hadi shs. 100,000 kwa sisi makabwela.
Ukiangalia hayo mabadiliko utaona kwamba wakubwa wamejiongezea hizo posho kwa zaidi ya 108% lakini nyongeza ya sisi hohe hahe ni kiduchu tu cha 25%!!!
Kuna justification gani ya kuwa na tofauti kubwa ya 83% kati ya nyongeza ya makundi haya ya binadamu?