USAWA uko wapi kwenye ongezeko la posho za kujikimu

Si
Ndumbaro nadhani atakuwa alijichanganya wakati anaongea, maana ukiangalia documents zinaonyesha ongezeko ni kutoka 120k mpaka 150k kwa hiyo kada ya juu na siyo 250k kama aliyotamka yeye. Hopeful watatoa maelezo ya kueleweka
Sio kweli, ni 120,000 to 250,000 kwa daraja la juu
 
Ongezeko la foreign perdiem mkitangaziwa mtapata vidonda via tumbo bora waendelee kukaa kimya
Kama ni hivyo kuwa za foregn travel ni balaa basi watasafiri kama Mbwa aliyepotezwa kwa miruzi!
 
Laki tatu mpaka tano ndo utalinganisha na milioni mbili na ushee??
Unamlalamikia nani?????

Anayekuzidi elimu, pia anakuzidi mshahara....

Kama ulikuwa unataka hiyo milioni 2-10 ungesoma.
Shule zipo

Vidole vyako vya mikono/miguu vinalingana????
Kwa nini usivikate vidole virefu ili vilingane na vifupi????

Nyambofu......
 

Acha kulia lia kifala, nenda kasome na wewe uwe mkubwa ukajiongezee maposho kutoka 250,000 hadi 500,000 perdiem. Humu hakuna atakae kusaidia, kama vipi acha kazi katafute hela mtaani nako zipo tena kule ndo hazina viwango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…