Usawa wa mwanamke na mwanaume kwenye ndoa za kikristo ndio huwapa viburi wanawake kuanza kuwashushia vipigo waume zao

wawili hawatoshi fanya 4 utafurahia maisha sana.

si unakumbuka enzi zile ukiwa unasoma ulikuwa unajisemea ukioa utakuwa unashinda uchi na mkeo ndani,na saa zote unainamisha tu[emoji23][emoji23]

bila shaka ndipo unagundua ulikuwa unawaza upupu,oa hata hao 2 uone kama yaliyomo ni kweli yapo au ni muendelezo wa fikra za disney.
Ukikaa ukasoma vitabu na ukamjua mwanamke naamini utanielewa mawazo yangu.
Mwanamke anaitaji mwanaume tu
 
🤣🤣🤣🤣🥴
usicheke, mambo serious haya, huwez kuongeza mke na ukitaka uvunje ndoa mali zako zinapigwa pasu kwa pasu inabidi utulize mshono tu,
 
Kwani Mali sh ngapi....acheni uchoyo na uvivu wa kuanza upya.....mnakufa Kwa mawazo na Mali mwaziacha🙄
 
View attachment 2711181

Vitendo vya unyanyasaji kwa wanaume wa kikristo kupigwa na wake zao vimeshamiri kiasi kwamba wanaume wameamua kuweka aibu pembeni na kuililia serikali ifungue dawati la unyanyasaji kwa wanaume, licha ya hivi bado msaada unakuwa mdogo maana wakikimbilia polisi ama ustawi wa jamii wanachekwa.

Si vipigo tu, pia kuna unyanyasaji kwa wanaume wa kikristo kufanyiwa visa vya kunyimwa unyumba na wake zao, mtu unakuta hadi yamemfika shingoni inabidi aweke wazi kwamba kanyimwa unyumba mwaka mzima.

Nachoona ni kwamba ndoa za kikristo mwanamke akiolewa tu anaridhika anajua ndio mwisho wa safari hapo, mwanaume hawezi kuongeza mke na anaogopa kuvunja ndoa ili kuzilinda mali zake zisipigwe pasu kwa pasu, hapa ndio kiburi kinaanza sasa inafikia kipindi mwanamke anaanza kumdunda hata mme wake ama kumnyima unyumba maksudi, anajijua tayari huyo mwanaume kamakamata penyewe.

upande wa ndoa za kiislam ni nadra sana maana mwanamke anajua kabisa talaka inaweza kuwa muda wowote na anaweza kuondoshwa bila chochote maana sheria za dini zimekataza kuchukua mali ambazo hujatolea jasho kwenye ndoa, pia mwanamke anajua wazi kabisa kwamba hata kama yupo peke yake bado mme wake anaweza kuongeza mke.
Ludi kasome jinsi ya kumpa talaka utakuta kuna kitu kinaitwa kutoka nyumba maanake ni kumpa cha kuanzia maisha kadiri ya uwezo wako kama huna chochote kitu fukara basi lakini kama unacho kitu tajiri lazima umpe akaanza maisha kadiri ya utajiri wako ulivio mfano uko na nyumba 3 mpe 1 na mtaji wa maisha mapiya ndio tafusiri ya kuoana kwa wema na kuachana kwa wema hayo ndio mafundisho ya uisilamu,kuhusu kupigwa na kunyimwa wapo baadhi ya wanaume yanawakuta ni siri yao tu
 
😳kumbe mnapigwa na hamsemi 🙄
Tatizo lenu mkiachwa mnajiona mna nguvu......hivi nikirusha peresu peresu moja hiyo sura itasalimika kweli? wanawake acheni ulimbukeni wa kujipima ubavu kwa wanaume, hamna hizo nguvu.
 
Vitendo vya unyanyasaji kwa wanaume wa kikristo kupigwa na wake zao vimeshamiri kiasi kwamba wanaume wameamua kuweka aibu pembeni na kuililia serikali ifungue dawati la unyanyasaji kwa wanaume, licha ya hivi bado msaada unakuwa mdogo maana wakikimbilia polisi ama ustawi wa jamii wanachekwa.

Si vipigo tu, pia kuna unyanyasaji kwa wanaume wa kikristo kufanyiwa visa vya kunyimwa unyumba na wake zao, mtu unakuta hadi yamemfika shingoni inabidi aweke wazi kwamba kanyimwa unyumba mwaka mzima.

Nachoona ni kwamba ndoa za kikristo mwanamke akiolewa tu anaridhika anajua ndio mwisho wa safari hapo, mwanaume hawezi kuongeza mke na anaogopa kuvunja ndoa ili kuzilinda mali zake zisipigwe pasu kwa pasu, hapa ndio kiburi kinaanza sasa inafikia kipindi mwanamke anaanza kumdunda hata mme wake ama kumnyima unyumba maksudi, anajijua tayari huyo mwanaume kamakamata penyewe.

upande wa ndoa za kiislam ni nadra sana maana mwanamke anajua kabisa talaka inaweza kuwa muda wowote na kuhusu mali hakuna pasu kwa pasu bali, atapewa mgao wa mali alizochangia tu lasivyo mwanaume atampa chochote cha kuanzia maisha kadiri ya uwezo wake, pia mwanamke anajua wazi kabisa kwamba hata kama yupo peke yake bado mme wake anaweza kuongeza mke.
Umeelezea vizuri sana.Naona kwa jirani zangu,ni tabu tupu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lenu mkiachwa mnajiona mna nguvu......hivi nikirusha peresu peresu moja hiyo sura itasalimika kweli? wanawake acheni ulimbukeni wa kujipima ubavu kwa wanaume, hamna hizo nguvu.
Sawasawa
 
Hii thread mbona wakristo mmenywea, michango mbona michache jamani
 
Vitendo vya unyanyasaji kwa wanaume wa kikristo kupigwa na wake zao vimeshamiri kiasi kwamba wanaume wameamua kuweka aibu pembeni na kuililia serikali ifungue dawati la unyanyasaji kwa wanaume, licha ya hivi bado msaada unakuwa mdogo maana wakikimbilia polisi ama ustawi wa jamii wanachekwa.

Si vipigo tu, pia kuna unyanyasaji kwa wanaume wa kikristo kufanyiwa visa vya kunyimwa unyumba na wake zao, mtu unakuta hadi yamemfika shingoni inabidi aweke wazi kwamba kanyimwa unyumba mwaka mzima.

Nachoona ni kwamba ndoa za kikristo mwanamke akiolewa tu anaridhika anajua ndio mwisho wa safari hapo, mwanaume hawezi kuongeza mke na anaogopa kuvunja ndoa ili kuzilinda mali zake zisipigwe pasu kwa pasu, hapa ndio kiburi kinaanza sasa inafikia kipindi mwanamke anaanza kumdunda hata mme wake ama kumnyima unyumba maksudi, anajua tayari huyo mwanaume hana ujanja.

upande wa ndoa za kiislam na za kitamaduni ni nadra sana maana mwanamke anajua kabisa talaka inaweza kuwa muda wowote na kuhusu mali hakuna pasu kwa pasu, atapewa tu mgao wa mali alizochangia lasivyo mwanaume atampa chochote cha kuanzia maisha kadiri ya uwezo wake, pia mwanamke anajua wazi kabisa kwamba hata kama yupo peke yake miaka 20 bado mme wake anaweza kuongeza mke.
Allah anasema
Koran 4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni

Biblia
Waefeso 5
25 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo alivyolipenda kanisa akajitoa nafsi yake....
 
Sasa ndio nini umeandika?? Unajionaga clever kumbe low mind kinyama

Fafanua sasa si unajikuta sheikh
 
kwamba lugha haieleweke au?

Allah anasema
Koran 4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
 
Huo ndio uhalisia

Kwenye uislam mwanamke akunyime unyumba hata wiki tu unaweza kumtishia kwa maksudi unaongeza mke ama utampa talaka anarudi kwenye mstari, akikaza fuvu unafanya kweli [emoji1787] [emoji1787]

Huku sio ukristo wa wazungu eti unyimwe unyumba mwaka mzima, wachungaji wanawaambia eti mvumiliane, kiwanda kikijaa hapa ndio mtu anaanza kuwa na kuzini nje ya ndoa kununua malaya mtaani na kufuga michepuko.
Na uislam wa waarabu
 
Back
Top Bottom