Usawa wa mwanamke na mwanaume kwenye ndoa za kikristo ndio huwapa viburi wanawake kuanza kuwashushia vipigo waume zao

Ukikaa ukasoma vitabu na ukamjua mwanamke naamini utanielewa mawazo yangu.
Mwanamke anaitaji mwanaume tu
 
🤣🤣🤣🤣🥴
usicheke, mambo serious haya, huwez kuongeza mke na ukitaka uvunje ndoa mali zako zinapigwa pasu kwa pasu inabidi utulize mshono tu,
 
usicheke, mambo serious haya, huwez kuongeza mke na ukitaka uvunje ndoa mali zako zinapigwa pasu kwa pasu inabidi utulize mshono tu,
Kwani Mali sh ngapi....acheni uchoyo na uvivu wa kuanza upya.....mnakufa Kwa mawazo na Mali mwaziacha🙄
 
Ludi kasome jinsi ya kumpa talaka utakuta kuna kitu kinaitwa kutoka nyumba maanake ni kumpa cha kuanzia maisha kadiri ya uwezo wako kama huna chochote kitu fukara basi lakini kama unacho kitu tajiri lazima umpe akaanza maisha kadiri ya utajiri wako ulivio mfano uko na nyumba 3 mpe 1 na mtaji wa maisha mapiya ndio tafusiri ya kuoana kwa wema na kuachana kwa wema hayo ndio mafundisho ya uisilamu,kuhusu kupigwa na kunyimwa wapo baadhi ya wanaume yanawakuta ni siri yao tu
 
😳kumbe mnapigwa na hamsemi 🙄
Tatizo lenu mkiachwa mnajiona mna nguvu......hivi nikirusha peresu peresu moja hiyo sura itasalimika kweli? wanawake acheni ulimbukeni wa kujipima ubavu kwa wanaume, hamna hizo nguvu.
 
Umeelezea vizuri sana.Naona kwa jirani zangu,ni tabu tupu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lenu mkiachwa mnajiona mna nguvu......hivi nikirusha peresu peresu moja hiyo sura itasalimika kweli? wanawake acheni ulimbukeni wa kujipima ubavu kwa wanaume, hamna hizo nguvu.
Sawasawa
 
Hii thread mbona wakristo mmenywea, michango mbona michache jamani
 
Allah anasema
Koran 4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni

Biblia
Waefeso 5
25 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo alivyolipenda kanisa akajitoa nafsi yake....
 
Sasa ndio nini umeandika?? Unajionaga clever kumbe low mind kinyama

Fafanua sasa si unajikuta sheikh
 
Sasa ndio nini umeandika?? Unajionaga clever kumbe low mind kinyama

Fafanua sasa si unajikuta sheikh
kwamba lugha haieleweke au?

Allah anasema
Koran 4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
 
Na uislam wa waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…