MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,481 Reaction score 8,605 Dec 5, 2012 #1 Wadau niaje? Kuna mdau aliahidi usd 1000 za cristmass straight from New york.. Kuna yeyote mwenye fununu kama zinaingia lini au Kongosho ameshatuzulumu maana nasikia ye ndo montress wa hilo fungu Au Natalia ameshafulia alikuwa anatutisha tu
Wadau niaje? Kuna mdau aliahidi usd 1000 za cristmass straight from New york.. Kuna yeyote mwenye fununu kama zinaingia lini au Kongosho ameshatuzulumu maana nasikia ye ndo montress wa hilo fungu Au Natalia ameshafulia alikuwa anatutisha tu
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Dec 5, 2012 #2 nahisi ni usanii tu.
Nicole JF-Expert Member Joined Sep 7, 2012 Posts 4,274 Reaction score 2,523 Dec 5, 2012 #3 Lile lilikuwa changa la macho nadhani cku hyo rutherfod aka mudhungu alimboa so akatafuta watu wa kumkip bize na chating chezeya nataly ww
Lile lilikuwa changa la macho nadhani cku hyo rutherfod aka mudhungu alimboa so akatafuta watu wa kumkip bize na chating chezeya nataly ww
snochet JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 1,491 Reaction score 1,298 Dec 5, 2012 #4 atume hata cards basi turidhike kidogo,wengine na sisi tuoshe kwamba tuna christmass cards from the US mwaka huu.
atume hata cards basi turidhike kidogo,wengine na sisi tuoshe kwamba tuna christmass cards from the US mwaka huu.
Arushaone Platinum Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,237 Reaction score 13,567 Dec 5, 2012 #5 Kwa mawazo yangu nashauri MKATA KIU ungeenda kuulizia hilo deni kwenye jukwaa husika Natalia alipotoa ahadi la MMU. Nway usikate tamaa kwa kuwa ameshanunua ile ticket ya LOTTERY YENYE ZAWADI YA DOLA 450,000. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kwa mawazo yangu nashauri MKATA KIU ungeenda kuulizia hilo deni kwenye jukwaa husika Natalia alipotoa ahadi la MMU. Nway usikate tamaa kwa kuwa ameshanunua ile ticket ya LOTTERY YENYE ZAWADI YA DOLA 450,000.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,270 Reaction score 111,361 Dec 5, 2012 #6 Unamaanisha Natalia huyu??? AU huyu???
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 28,132 Reaction score 64,416 Dec 5, 2012 #7 mbona huwa anatoa mafungu kila sikukuu?. Natalia atatuma tu!. chezeya mtoto ya fisadi mke ya mzungu weye!. hiyo $buku ni kitu kidogo sana kwake. mia Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mbona huwa anatoa mafungu kila sikukuu?. Natalia atatuma tu!. chezeya mtoto ya fisadi mke ya mzungu weye!. hiyo $buku ni kitu kidogo sana kwake. mia