USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

alot of exports however inabidi tue producers zaidi ya consumers mfano watu waache kuwaza ajira sana waangalie kufungua biashara zaidi za kuuza nje na kushindana na makampuni makubwa apo utakua unapokea dola direct bila kusumbuana na BOT
Huko nje tuuze nini? Taja vitu vya kuuza
 
Wazee wa Crypto hapa uki convert into dollar and then tshs unafanya MIRADI ya mana kabisa currently
 
Hii inamaanisha nini kwenye uchumi, you know 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…