USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

yes unapata dollar ila sio cash kwa kitaalam inaitwa (NEGATIVE ASSET) you can spend it only, ni kama kumuuzia mtu deni
Sijui hata kama unaelewa unachosema. Mm hoja yangu nilikujibu pale uliposema tunapata dollar kwa njia mbili tu kuuza nje na watalii.
 
Sijui hata kama unaelewa unachosema. Mm hoja yangu nilikujibu pale uliposema tunapata dollar kwa njia mbili tu kuuza nje na watalii.
sasa shida iko wap apo ama swali lako ni lipi apo, ndo njia pekee ya kupata dollar amna ingine ama ulidhan world bank wanapokea tsh alafu ndo wanakupa hizo dollar
 
Na ulivyo zuzu unashindwa kujua, with a weak currency una -attract more investment kwasababu zina boost EXPORTS.
Wabobezi wa mambo ya uchumi mnisaidie kuhusu haya maelezo ya ndugu, maana mimi kazi yangu ni kuinua majengo, haya mambo ya vulnerability currency kidogo ni mushkeri.
 
kama dinar moja ni sawa na 0.18 maana yake itacheza kwenye dinar 3 ama 4
Dollar 1 Ni sawa na dinar 3 au 4???
Mkuu upo makini kweli?
Unaelewa hata unachoandika? Kama dollar 1 ni sawa na dinar 3 au 4, sasa unasemaje tena libya dinar Ina thamani kuliko dollar?
 
Dollar 1 Ni sawa na dinar 3 au 4???
Mkuu upo makini kweli?
Unaelewa hata unachoandika?
bro mbna mahesabu ya kawaida hayo nmekadiria, japo apa inaonyesha 5 nmefanya mahesau ya haraka haraka
1747655267051.png
 
bro mbna mahesabu ya kawaida hayo nmekadiria, japo apa inaonyesha 5 nmefanya mahesau ya haraka haraka
View attachment 3338962
Ndio maana nikassma mkuu huenda hujui unachoandika
Wewe umesema pesa ya Libya Ina thamani kuliko dollar, alafu tena unaleta taarifa inayoonyesha dollar ipo juu ya hiyo pesa ya Libya. Au mkuu hujui unachoweka?
Hapo Ni wapi hiyo dinar imeizidi Dollar?
 
ni kwamba sjakujibu ama unataka ubishi, hili swali si nmeshakujibu apo awali ama?
 
Wabobezi wa mambo ya uchumi mnisaidie kuhusu haya maelezo ya ndugu, maana mimi kazi yangu ni kuinua majengo, haya mambo ya vulnerability currency kidogo ni mushikeri.
1747655663692.png

nenda katafute hii article imeelezea vizuri kabisa, exchange rates sio market force kama watu wengine mnavodhan
 
Back
Top Bottom