USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

Kwa nchi tegemezi inayoagiza kila kitu (tena kwa dola) ni habari mbaya ila tungekuwa na long term thinking tungeacha huu utegemezi na hata baadhi ya miradi ya ndani tukaifanya kwa pesa zetu na nguvu kazi zetu bila ya hivyo tunacheza ngoma ya kuwanufaisha wengine...;

Lakini ndio hivyo mentality ilishabadilika

Solution kila mtu anajua . Wa somi tupo wengi sana . Masters na phd zipo kibao . We know the solution .

Issue Inchi Ina ongozwa na wasio na akili wengine wapo kimya . 1 smart leader could turn all this around.

Mistake kubwa sana . And we will pay it for generations
 
Mimi sio wa kupita hivyo,thamani y hela yetu inatakiwa ipimwe Kwa vitu inavyoweza nunua hapa ndani na sio dola.

Kupimia Dola sio sawa Kwa sababu Tanzania ni net importer
Importer wanatumia dollars . Means they need the usd .
Also currency with poor purchasing power will print more money . Money is inflation . Lowering the currency value even more .

Also poor value create bigger debt . Madeni yanakuwa makubwa sana . Printing more money .

Soon Inchi ita default kushindwa kulipa madeni . Tsh will be worse less . Swala la mda tu.

Wewe kuwa Chawa tu . It’s what you know .
 
I will be short

Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence

Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .

USIseme atukukwambia. .
Mama anaupiga mwingi sana kwani mwashamba anasema hilo?
 
I will be short

Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence

Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .

USIseme atukukwambia. .
Haina athari yoyote kiuchumi, huku Maswa bei ya mchele, maharage,unga ni ile ile, hatuhitaji hayo madola yenu
 
I will be short

Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence

Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .

USIseme atukukwambia. .
Shilingi ya nchi kuwa chini kuna faida kubwa kuliko hasara.

Jambo la msingi hata kama ikiwa chini isibadilike badilike (unstability).
 
Importer wanatumia dollars . Means they need the usd .
Also currency with poor purchasing power will print more money . Money is inflation . Lowering the currency value even more .

Also poor value create bigger debt . Madeni ya Nakuwa makubwa sana . Printing more money . Soon Inchi ita default . Swala la mda tu.

Wewe kuwa Chawa tu .
Importers ndio wanatakiwa wapate Dola Kwa sababu Wana Shilingi so hakuna Cha ku printi more money badala yake Serikali itakuwa Ina ration hizo Dola ,sio Kila anaetaka Dola akalete mirumba kwamba atapewa.

Currency yenye poor purchasing power ya vitu gani? Punguza ujinga nimekwambia huhitaji Dola kununua bidhaa muhimu ndani ya Nchi na hiyo ndio kipimo halisi Cha thamani ya pesa yetu.

Inflammation ipi,Tanzania haijawahi kuwa na inflation ya 5% achilia mbali kuvuka hiyo hata Sasa mfumuko wa bei ni chini ya 4%.

Wewe ni mjinga unajaribu kulazimisha kile unataka kiwe na hakitakuwa.
 
Shilingi ya nchi kuwa chini kuna faida kubwa kuliko hasara.

Jambo la msingi hata kama ikiwa chini isibadilike badilike (unstability).
Tanzania ni vulnerability currency mzee . Akili huna

Tanzania shilling ni unstable currency . Pia deni la taifa lipo kwa usd . Means we pay more interest more money . Hii ni inflation 101 .

Kichwani wewe zero
 
Deni la taifa analipa importers ??

Inflation last year was 19 % up .

Ndani Inchi ya importers sio . We produce nothing . Means dollars are our life support

Chawa mna matatizo ya akili
 
I will be short

Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence

Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .

USIseme atukukwambia. .
Mwaka ukiisha itakua 3000,usijali bosi ila kwa sasa hatutaki manunuzi kwa dollars(haaaaaaa wanaficha kua uchumi imara kumbe scale inatisha),anyway kikubwa miliki asset na sihela kwakua asset thamani inapanda na vijana wanakimbilia magari ili waendelee kukuza vitambi na totoziii
 
Shilingi ya nchi kuwa chini kuna faida kubwa kuliko hasara.

Jambo la msingi hata kama ikiwa chini isibadilike badilike (unstability).
Nipe faida and you produce nothing ? Unless you have industrial economy makes sense . We sell nothing compared what’s we imports

Machawa akili amna
 
Tanzania ni vulnerability currency mzee . Akili huna

Tanzania shilling ni unstable currency . Pia deni la taifa lipo kwa usd . Means we pay more interest more money . Hii ni inflation 101 .

Kichwani wewe zero
Umeanza kutukana kama kiazi.

Na ulivyo zuzu unashindwa kujua, with a weak currency una -attract more investment kwasababu zina boost EXPORTS.

Ulivyo JUHA hujui TZ, inapambania manufacturing na uwekezaji na inapata Dollars for exports.

Hilo deni la taifa halilipwi lote leo.

Na ulivyo taahira, hujui kuwa thamani ya sarafu inaweza kushidha au kuwa caged ikawa na thamani fulani tu. Juhaaa
 
Back
Top Bottom