Dennis Roberts
Tunaomba maono raisi wetu kuhusu fedha za kigeni, tunapigwa mno.....
Tunaomba maono raisi wetu kuhusu fedha za kigeni, tunapigwa mno.....
Ni kwanini Marekani huwa anamgombeza sana China aipandishe thamani sarafu yake?1USD = 7 YUAN
inflation haina uhusiano na exchange rates! these exchange rates are moved manually sometimes BOT will raise USD or make it fall, kwa wewe exchange rates haina uhusiano wowote na maisha yako kua magumu ama marahisi! ni elimu tu hunaElimu ndogo sana . With poor purchasing power means you need to print a lot of money . That is inflation . Wewe chawa
Kwani umesikia Tanzania Haina Dola?
Inflammation ya kitu gani hiyo? Fafanua
Kama we produce nothing inakuaje tuko top 10 ya wauza Dhahabu,wauza bidhaa za Kilimo na Utalii?
Unaropoka vitu usivhovijua na nakwambia tena hicho unachotaka kiwe will never happen ,soma hiyoo 👇👇
View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1922504731944964397?t=k4THh_G80Z2AX3eqdVqfcA&s=19
the same kwa TZ nchi kama congo inaweza kuiomba TZ ifanye dilution ya TSH, iko ivi!Ni kwanini Marekani huwa anamgombeza sana China aipandishe thamani sarafu yake?
kuna faida gani kwa sarafu ya China kuwa chini?
hapana haina uhusiano, deni la tanzania nje ya nchi linalipwa kwa $ sio TSH, tuseme una deni la $1B ukisema uconvert Tsh kwenda $ ulipe deni basi utakomba almost nusu ya reserve ya dola zilizo nchiniMkuu mimi sio mjuzi wa masuala ya uchumi ila nna swali,kama deni la taifa leo ni usd 10 ambazo ni 2700/=,thamani ya shilling ikishuka dollar 27 ikiwa 30000/= hilo halina hathari kiuchumi??kama kodi chukulia wakati nahamia hapa nilikua nalipa kodi usd xxxxx lakini kushuka kwa shilling kumefanya kodi izidi zaidi ya laki 6
kwahio deni la taifa ni Tsh? 😀 😀 ulishawahi kupewa mkopo wa tshChawa akili huna
Kuna deni la taifa In usd ??!
Kuna everything we import in. USD ??!
Kuna interest payment in usd ??
We will print trillions kucover our loans . Inflation to default .
Machwa mnatumia akili au vichaa wote
I will be short
Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence
Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .
USIseme atukukwambia. .
ata ingekua Tsh ni kubwa kuliko dola haimaanishi uchumi wa tz ni mkubwa, mfano ela ya libya ni kubwa kuliko dola but haimaanishi uchumi wa libya ni mkubwa kuliko marekanNa pia tukumbuke tulipopata uhuru USD Ilikuwa Shs 70.
I will be short
Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence
Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .
USIseme atukukwambia. .
Asante kwa majibu mazuri.the same kwa TZ nchi kama congo inaweza kuiomba TZ ifanye dilution ya TSH, iko ivi!
chukua mfano wewe ni KENYA na unanunua tani 1 ya mchungwa TZ kwa KSH 1M, rate ya tanzania ikipanda the same same quantity itabidi uoongeze KSH upate ile ile quantity which isnt what most people want, so BOT will reduce TSH value for that trade to happen,
kwa lugha nyepesi TSH kupanda ama kushuka haina uhusiano wowote na uchumi wako binafsi
Dollar za kulipa unatoa wapi wakati unaingiza dollar kidogo,matumizi makubwa??hununui??au madeni hayalipwi yanazidi kukua tuhapana haina uhusiano, deni la tanzania nje ya nchi linalipwa kwa $ sio TSH, tuseme una deni la $1B ukisema uconvert Tsh kwenda $ ulipe deni basi utakomba almost nusu ya reserve ya dola zilizo nchini
Bila shaka! dola kupanda athari yake ni kwa mtu anaefanya biashara za kimataifa kwa upande wa KUNUNUA, itabidi atoe TSH nyingi apate dola chache lakini uzuri ni kwamba wengi wanaofanya biashara za nchi na nchi wana ukwasi mkubwa kwahio wanaweza kwenye hio bishara wakafidia kupata faida nzuri, mfano ukienda kununua kitu china ukiwa na mil 10, itakubidi ukija kufanya biashara upate zaidi ya mil 10, which ni kitu cha kawaida kwa biashara chochote hata ambayo hawafanyi exchange ratesAsante kwa majibu mazuri.
Swali la nyongeza kinchi kuna athari gani kwa kupanda kwa dola ya Marekani ? Na hii ni kwa sababu nimekuwa nikifuatilia dola vs Tsh tangu awamu ya kwanza ya urais wa Tanzania hadi hii awamu ya sita naona dola huwa inapanda tu.
Unaweza ukanipa elimu kidogo juu ya hilo?
so what gentleman?🐒
dola znapatikana kwa kuuza nje na watalii kujaDollar za kulipa unatoa wapi wakati unaingiza dollar kidogo,matumizi makubwa??hununui??au madeni hayalipwi yanazidi kukua tu