lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
Hawajibu swali, deni la mwaka 2020 kama dollar ilikua 2500 kwa shilling,leo dollar ikiwa elfu 3000,haina maana kua deni limezidi kwa 500???si lazima tuwe na shillings nyingi kununua dollar kulipa deni hilo??hizo shillings tunatoa wapi?after time haiwezi leta mdororo wa uchumi???Sorry Nime wrong quote