stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
we huna akili na hujielewi, unaelezea kitu hukijuiAisee Chawa na Ukichaa ni sawa .
we huna akili na hujielewi, unaelezea kitu hukijuiAisee Chawa na Ukichaa ni sawa .
kati ya rwanda na tanzania pesa ya nan inathamani zaidi ya mwenzake na nan ana uchumi mkubwa, unaona ulivo lichiziAkili huna .
Means we will pay out debt cheaply
We produce nothing . Imports will be cheaper .
Wewe akili yako ya matope . U think it will change anything . We set the economic policy and this will work well
Yupo waziri anajiita daktari wa uchumi lakini ni takataka tu hana awezalo kwenye uchumi.Angalia records zako vizuri, mwaka jana iliwahi kufika zaidi ya 2800
unataka afanyaje bossYupo waziri anajiita daktari wa uchumi lakini ni takataka tu hana awezalo kwenye uchumi.
Kwanini unagoogle currency ? Nani kakuloga nenda bank kujua tovuti yao. Bank of TanzaniaI will be short
Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence
Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .
USIseme atukukwambia. .
Hata ujui cha kufanya 😂😂😂.unataka afanyaje boss
we huna akili na hujielewi, unaelezea
hakuna athari yoyote! exchange rates ni manual figures znapandishwa na kushushwa MANUALLY! unaweza kujifunza zaidi kupitia
View: https://www.youtube.com/watch?v=ZioqjX3obZQ&pp=ygUkd2h5IGNvdW50cmllcyBkZXZhbHVlIHRoZWlyIGN1cnJlbmN5
| Mwaka | Exchanges rate per USD | Bei la Balo kwa USD China | Bei litakavyo uzwa Tanzania |
| 2023 | 2300 | $100 | TZS230000 |
| 2025 | 2800 | $100 | TZS280000 |
Mwambie exchange rate inaathiri hadi GDP per Capita na PPP.Shida yako ni kujifanya unajua sana, wakati kiuhalisia hujui kitu.
Angalia data za bei za balo moja la mitumba china kabla na baada ya kupanda kwa dollar, zitakavyokuwa huku Tanzania.
Mwaka Exchanges rate per USD Bei la Balo kwa USD China Bei litakavyo uzwa Tanzania 2023 2300 $100 TZS230000 2025 2800 $100 TZS280000
Hauoni hapo mtumba uleule kule china bado unauzwa dollar 100 kwa miaka tofauti, lakini huku Tanzania 2025 umepanda bei wakati mishahara ya watumishi iko vilevile. Bei za mazao ziko vilevile, itahitaji nguvu ya ziada ili kuweza kupata mtumba huu kwa mtu wa mwisho tofauti na ilivyokuwa 2023.
NB: Data zimebuniwa.
Kwa point hiyo nimeelewa pia umenikumbusha nilichosikia kuwa pesa ya Qatar ni kubwa zaidi ya dola ya Marekani lakini uchumi wa Marekani ni mkubwa kuliko wa Qatar.the answer is NOTHING, hata ikitotkea TSh ina thaman kuliko dollar haimaniishi uchumi wetu umekua, mfano wa izo nchi ni kama libya ela yako ina thaman kuliko dollar but GDP ya dar ni sawa na libya nzima, here is an example
View attachment 3338306
View attachment 3338307
View attachment 3338308
hope umeelewa
yeah pia kuna nchi nyingi afrika pesa yao ni kubwa kuliko ya marekani mfano libyaKwa point hiyo nimeelewa pia umenikumbusha nilichosikia kuwa pesa ya Qatar ni kubwa zaidi ya dola ya Marekani lakini uchumi wa Marekani ni mkubwa kuliko wa Qatar.
KAFULIAKafulira anasemaje kwani?
cha muhimu izi exchange rates zisikupe headache they are just decided leo iwe ngap kesho iwe ngap haina faida kwa mwananchi mmoja mmojaKwa point hiyo nimeelewa pia umenikumbusha nilichosikia kuwa pesa ya Qatar ni kubwa zaidi ya dola ya Marekani lakini uchumi wa Marekani ni mkubwa kuliko wa Qatar.
unadeal nayo we kama nan? hauna biashara yoyote yenye zaidi ya $1B kibali cha kudeal na rates unatoa wap? huna akiliMimi na deal navyo daily . Wewe Ukitoa uchawa economy umejifunzia wapi
Shukrani ndugu, kwa ushirikiano wako.cha muhimu izi exchange rates zisikupe headache they are just decided leo iwe ngap kesho iwe ngap haina faida kwa mwananchi mmoja mmoja