stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
😀 😀 unatakiwa uelimikeKama taifa inabidi tuufirikirie upya uwezo wa Samia na mwigulu kuliongoza taifa
😀 😀 unatakiwa uelimikeKama taifa inabidi tuufirikirie upya uwezo wa Samia na mwigulu kuliongoza taifa
Sawa chawa😀 😀 unatakiwa uelimike
Hujajibu swali,tunaingiza dollar chache,.tuna mahitaji makubwa ya dollar,Ziada inatoka wapi??dola znapatikana kwa kuuza nje na watalii kuja
Black market ilikua 2830-2850Angalia records zako vizuri, mwaka jana iliwahi kufika zaidi ya 2800
dollar zinatokana na kufanya biashara, lazima watalii waje, dhahabu ziuzwe akune nje ya apoHujajibu swali,tunaingiza dollar chache,.tuna mahitaji makubwa ya dollar,Ziada inatoka wapi??
ahaa, ziada ya $ inapatikana kwa mfumo wa EX CHEQUERS (Madeni)Hujajibu swali,tunaingiza dollar chache,.tuna mahitaji makubwa ya dollar,Ziada inatoka wapi??
Tena mwaka jana, nakumbuka kuna mtu Ali change kwa 2950.Utakua mgeni jijini
Dollar tumechange mpaka na 3000
Unakwepa swali??mfano kama nchi kwa mwaka tunaingiza usd 10 kwa mwaka, na importers wanahitaji 50usd kwa mwaka kuagiza,.hiyo 40 inapatikana vipi??nieleze taratibu me mweupe sana hapa..dollar zinatokana na kufanya biashara, lazima watalii waje, dhahabu ziuzwe akune nje ya apo
Umeelewa nilichoandika au wrong qoute???Akili huna . Kichwani matope na uchawa
Unafanya vipi biashara ya dollar bila kutoa shillings . Ukitoa shillings na dollar unalipa deni . You remain with no dollars . Una print more shillings .
Akili matope ndo maana ni Chawa
Akili huna .Bila shaka! dola kupanda athari yake ni kwa mtu anaefanya biashara za kimataifa kwa upande wa KUNUNUA, itabidi atoe TSH nyingi apate dola chache lakini uzuri ni kwamba wengi wanaofanya biashara za nchi na nchi wana ukwasi mkubwa kwahio wanaweza kwenye hio bishara wakafidia kupata faida nzuri, mfano ukienda kununua kitu china ukiwa na mil 10, itakubidi ukija kufanya biashara upate zaidi ya mil 10, which ni kitu cha kawaida kwa biashara chochote hata ambayo hawafanyi exchange rates
Sorry Nime wrong quoteUmeelewa nilichoandika au wrong qoute???
Akili huna . Kichwani matope na uchawathe same kwa TZ nchi kama congo inaweza kuiomba TZ ifanye dilution ya TSH, iko ivi!
chukua mfano wewe ni KENYA na unanunua tani 1 ya mchungwa TZ kwa KSH 1M, rate ya tanzania ikipanda the same same quantity itabidi uoongeze KSH upate ile ile quantity which isnt what most people want, so BOT will reduce TSH value for that trade to happen,
kwa lugha nyepesi TSH kupanda ama kushuka haina uhusiano wowote na uchumi wako binafsi