USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

Haina athari yoyote kiuchumi, huku Maswa bei ya mchele, maharage,unga ni ile ile, hatuhitaji hayo madola yenu
Chawa akili huna

Kuna deni la taifa In usd ??!

Kuna everything we import in. USD ??!

Kuna interest payment in usd ??

We will print trillions kucover our loans . Inflation to default .

Machwa mnatumia akili au vichaa wote
 
Deni la taifa analipa importers ??

Inflation last year was 19 % up .

Ndani Inchi ya importers sio . We produce nothing . Means dollars are our life support

Chawa mna matatizo ya akili
Kwani umesikia Tanzania Haina Dola?

Inflammation ya kitu gani hiyo? Fafanua

Kama we produce nothing inakuaje tuko top 10 ya wauza Dhahabu,wauza bidhaa za Kilimo na Utalii?

Unaropoka vitu usivhovijua na nakwambia tena hicho unachotaka kiwe will never happen ,soma hiyoo 👇👇

View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1922504731944964397?t=k4THh_G80Z2AX3eqdVqfcA&s=19
 
Sehemu kubwa ya ya imports ya Tanzania ni kutoka China

Kwa nini tusifanye currency swap na China kati ya Tshs na Yuan? Ili tuanze kulipia imports kwa sarafu ya Yuan kwa bidhaa za China

Lengo tupunguze huu utumwa wa U.S dollars na exchange rate fluctuations
Tanzania debt is in usd currency you can’t pay it in yuan . Also China doesnt take other currencies its yuan and usd . Some euros .

We are fckd
 
Kila kona wamejaa wakandarasi wa kichina ambao mwisho wa siku tunawalipa USD, Kandarasi nyingi zinazoendelea zinafanyiwa na wageni ambao tunawalipa USD.
Taifa halifanyi production, bidhaaa nyingi tunaagiza kwa Dola..
Watu wetu watanzania wanafanya uchuuzi mitaani wa bidhaa za China, India nk, hizi bidhaaa zoote zinaangizwa nje kwa USD.

Uchumi kwa kiasi kikubwa umeshikiliwa na Wahindi na waarabu ambao Kwa kiasi kikubwa hela wanapeleka nje hapa nisehemu ya kuchuma tu.

Tuongeze uzarishaji na tujitahidi uchumi urudi Kwa watu wetu, watu wetu waache kufanya uchuuzi baadala yake wajikite kwenye production na biashara za kimataifa.
Tuboreshe mifumo ya elimu yetu watu wetu wawe na maarifa, hizi projects za ujenzi zifanywe na watu wetu.
 
Haina athari yoyote kiuchumi, huku Maswa bei ya mchele, maharage,unga ni ile ile, hatuhitaji hayo madola yenu
Maswa gani mimi niko hapa nguzo nane vitu bei juu pia mvua mwaka huu iligoma kabisa hapa maswa na kuna hatari vyakula vikapanda zaidi.karibu hapa mnadani nguzo nane tule nyama choma uone ugumu wa maisha.
 
Tanzania debt is in usd currency you can’t pay it in yuan . Also China doesnt take other currencies its yuan and usd . Some euros .

We are fckd
Ndio maana nikaanza na maneno currency swap

Argentina walifanya currency swap na China na wakaanza kutumia Yuan kuimport bidhaa kutoka China.

Ina maana China wako tayari kufanya biashara na taifa lolote ambalo litakubali payment kwenye Yuan badala ya U.S dollar

Halafu hata Argentina iliruhusiwa kulipa madeni yake kwenye international organisations kama IMF kwa kutumia Yuan
 
...
 

Attachments

  • IMG-20250516-WA0004.jpg
    IMG-20250516-WA0004.jpg
    105 KB · Views: 26
  • images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    10 KB · Views: 21
I will be short

Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence

Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .

USIseme atukukwambia. .
whats wrong with that?
 
Dollar ikipanda hakuna asiyecheza sebene lake nchi hii kwa dunia hii ya bodaboda/guta kuwa ndiyo usafiri pendwa.

Mkeka wa wese ukitoka Jumatano ya kwanza ya kila mwezi hadi Nyeregete wanaonja dawa chungu.
 
I will be short

Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence

Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .

USIseme atukukwambia. .
Angalia records vizuri mkuu ilishawahi kufika 2800
 
Back
Top Bottom