Shida yako ni kujifanya unajua sana, wakati kiuhalisia hujui kitu.
Angalia data za bei za balo moja la mitumba china kabla na baada ya kupanda kwa dollar, zitakavyokuwa huku Tanzania.
| Mwaka | Exchanges rate per USD | Bei la Balo kwa USD China | Bei litakavyo uzwa Tanzania |
| 2023 | 2300 | $100 | TZS230000 |
| 2025 | 2800 | $100 | TZS280000 |
Hauoni hapo mtumba uleule kule china bado unauzwa dollar 100 kwa miaka tofauti, lakini huku Tanzania 2025 umepanda bei wakati mishahara ya watumishi iko vilevile. Bei za mazao ziko vilevile, itahitaji nguvu ya ziada ili kuweza kupata mtumba huu kwa mtu wa mwisho tofauti na ilivyokuwa 2023.
NB: Data zimebuniwa.