USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

Halafu anajiona profesa wa uchumi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
eeeh mzee we mbna ni mgeni apa tafuta mada yoyote nkiwa nawafundisha watu kuhusu forex halisi ni nn,
mfano: Forex vs Betting utaona sehem nyingi watu wanakuja kuelewa vizuri izi exchange rates znafanyika vp, and ofcourse sio kila mtu anapenda kujifunza wengine wanapenda ubishi kama wewe, nkikuuliza tu hisa moja ya CRDB mathematically inapatikana vp huezi jibu
 
Kwa sisi wafanyabiashara dollar kupanda ni kilio kwa last consumers…full stop…acheni ngonjera…
 
Nilikuuliza kama manually, unaweza ukarate Hadi 1500 kesho?

Tuseme shilingi imekuwa 1=1usd
Fikiria athari zake kwenye import na export trade?

Itapunguza inflation kwa bidhaa Toka nje, itabaki tarifs na Kodi zetu tu
Itakuwa Watanzania wataimport cheaply kuanzia bidhaa Hadi huduma.

Biashara ya vipuri na mafuta itapungua bei,
Unajua raia wataneemeka kwa kiasi gani?

Umesoma kweli uchumi, biashara, finance ? au mtaalamu wa kitaa 🤣🤣🤣🤣🤣
kukurahisishia zaidi iko ivi:

serikali tayar ishafanya biashara nje kwahio wana mlundiko wa dola pale BOT, hio hela tayar wanayo ila wewe ukimpa Tsh unataka kununua Iphone nje atachukua $1000 kwendo mlundiko wa dola zake alafu atachukua ile tsh yako atawapa serikali kuu wafanyie issue zingine na hio tsh alafu wao watatoa $1000 kwenda ziada yao watakununulia iphone hio hio ya $1000 ila kwa exchange rate waliojiengenezea wenyewe
 
hio ni sehem ya siasa na siasa haitakiwi kueleweka

Sehemu ya siasa kivipi??
 
Mkuu siasa na dollar kupanda wapi na wapi?? Yaani dollar ipande alafu kusiwe na athari yeyote kwenye biashara..??
 
exchange rates znatengenezwa MANUALLY, kupanda ama kushuka ni uamuzi wa bodi tu na zpo nchi maskini vibaya mno zna ela yenye thamani kuliko dolar
Tunacho ongelea hapa athari zipo au hazipo…? Kwan wanao tengeneza si binadamu tuu…
 
hakuna, kwan hujawahi kuona nchi maskini kushinda tz na wana ela kubwa kuliko dola?
 
Sisi wa tunaotumia USDT ilifika 2852, wengine wakawa wanauza kwa 3000 kabisa

Kuna wale wa spenn pia walikuwa wananunua kwa 3000
USDT sio sawa na USD, Tether wanaamisha watu watu kwamba $1 = 1USDT ila sio kwel kwa sababu Tether wanafanya biashara na wanatangaza faida kila mwaka
 
Mkuu siasa na dollar kupanda wapi na wapi?? Yaani dollar ipande alafu kusiwe na athari yeyote kwenye biashara..??
exchange rates ni sehem ya kufanyia siasa pia , ila ata kesho wakiamua 1 Tsh iwe sawa na $laki wanaweza, ni kusimama tu na kuongea nothing serious! tatizo lenu nyie mnaichukulia kwamba Tsh kushuka ni kwamba kuna factors zmetokea nje uko kiasi kwamba Tsh imeshindwa vita 🤣
 
hakuna, kwan hujawahi kuona nchi maskini kushinda tz na wana ela kubwa kuliko dola?
ngoja nikuache na ujinga wako…unaniletea vi maneno vya kwenye vitabu ili vinisaidie nn…hyo dollar tu watu wana trade yenyewe kwa yenyewe..sasa wana trade bila faida..
 
wantrade kupata faida sio kutengeneza exchange rate, mfano nmenunua dola za laki moja BOT kwa rate ya 2600 nkija mtaani naiuza kwa rate ya 2800, then naweka faida narudia process tena ndo inakua biashara

ukitaka kuelewa fresh usipotaka skulazimishi na ndo faida ya kua na watu kama nyie unapelekwa uku unarudishwa kule na ndo siasa inataka ivo! ujinga ni mtaji
 
kukurahisishia zaidi iko ivi:

serikali tayar ishafanya biashara nje kwahio wana mlundiko wa dola pale BOT, hio hela tayar wanayo ila wewe ukimpa Tsh unataka kununua Iphone nje atachukua $1000 kwendo mlundiko wa dola zake alafu atachukua ile tsh yako atawapa serikali kuu wafanyie issue zingine na hio tsh alafu wao watatoa $1000 kwenda ziada yao watakununulia iphone hio hio ya $1000 ila kwa exchange rate waliojiengenezea wenyewe
Ile uhaba mwaka Jana kuhusu dollar ulitokea kwa sababu gani?

Mpaka ikawekwa limit kiasi ch kuchukua bank?
 
eeeh mzee we mbna ni mgeni apa tafuta mada yoyote nkiwa nawafundisha watu kuhusu forex halisi ni nn,
mfano: Forex vs Betting utaona sehem nyingi watu wanakuja kuelewa vizuri izi exchange rates znafanyika vp, and ofcourse sio kila mtu anapenda kujifunza wengine wanapenda ubishi kama wewe, nkikuuliza tu hisa moja ya CRDB mathematically inapatikana vp huezi jibu
Sasa swala la hisa na forex zinahusiana vipi na mada 🤣🤣🤣🤣.

Una post 7500 na likes 4500 hivyo inaonyesha kiasi gani watu wasivyo elewa mada zako.
 
exchange rates ni sehem ya kufanyia siasa pia , ila ata kesho wakiamua 1 Tsh iwe sawa na $laki wanaweza, ni kusimama tu na kuongea nothing serious! tatizo lenu nyie mnaichukulia kwamba Tsh kushuka ni kwamba kuna factors zmetokea nje uko kiasi kwamba Tsh imeshindwa vita 🤣
Hii ni currency na sio maneno ndio maana watu wapo na tahadhari.
 
Ile uhaba mwaka Jana kuhusu dollar ulitokea kwa sababu gani?

Mpaka ikawekwa limit kiasi ch kuchukua bank?
nice question: uhaba wa $ unatokana na kupungua kwa mauzo ya serikali nje a nchi, ama watalii wachache! chochote kinachotokana na kukosekana mauzo kutoka serikali kwenda nje ya nchi basi reserve inakua haitoshi, pia kuna limit ya kiasi unaweza kutumia, WB(world bank) inataka nchi zote kua na akiba ya kuendesha nchi kwa miezi isiopungua 4 incase country bails out however haina uhusiano wa rate ya dola, dola inaweza kuuzwa any amount wanataka mfano ukienda kwenye official sources dola inauzwa around 2670 mtaani mtu anauza mpaka 2700 ama 2800 na sio mtaani tu ata ukienda benki za tanzania

1747600308452.png

1747600366942.png
 
Sasa swala la hisa na forex zinahusiana vipi na mada 🤣🤣🤣🤣.

Una post 7500 na likes 4500 hivyo inaonyesha kiasi gani watu wasivyo elewa mada zako.
kumuelewesha mtu ambae hatoki kwenye bckground ya finance ni ngumu but i do my best, ukiona unajua sana mm nakuacha
Nmetoa mfano wa Hisa kwa sababu maamuzi yake yanfanyika bila uhitaji wa serikali ivo inakua njia rahisi zaidi ya kukuelewesha
 
Back
Top Bottom