USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

Hili suala lisikie Kwa jiran kupanda Kwa dola ni maumivu makali Kama unaitegemea katika harakati zako za kila siku halafu iwe dili zako zote zinakuja Kwa tsh then wew ili uchakate mishe unahitaji USD nyie nyie....
Kulia haulii kucheka hauchek ni balaa halafu unatafuta Dollar yenyewe haipatikan😓
 
Huo upumbavu kwenye kuagiza ndio hali tuliyo nayo kwa sasa, Sasa nikuulize kupandia kwa dollar hakuna athari kwetu?
Hakuna athari kubwa.

Maana sisi siyo kisiwa, hatuagizi chakula.
Hii nchi hatuna hata sector moja tutakayobsema Ina full and complete supply chain.
Sekta zipo, kama chakula ambacho hatuagizi popote
Machinga ni matokeo ya sera za kufanya watu wote wawe wachuuzi a.k.a ujasiliamali.
Kafi ya vitu vinavyonikera nchi hii, ni kuruhusu kuagiza kila kitu.

Juzi tu hapo Diamond kajisifia kuagiza kontema 30 za sabuni za vipande.

Sabuni ni kitu cha kukaba wachina au watu wafungue viwanda hapa hapa.
Nje ya mafuta, hakuna vitu vingine muhimu tunavyohitaji?
Mafuta, na deni la nje hakuna kitu kingine cha muhimu sana.

Na hivi vitu unaweza kuvilipa kwa akiba ya Dolla iliyopo pamoja na akiba ya dhahabu iliyopo.
Tunaizungumzia Tanzania, tuna hiyo fixed amount tuliyoiset, kama hakuna naomba hujibu hoja kwa hali halisi ya Sasa
Pesa ya TZ inategemea market forces
Nadhani bila kuuma maneno ni Kenya na walitupita mwaka 1995 yaani wametuzidi kote kwenye PPP na per Capita hasa moja ya sababu ni kushusha thamani ya pesa yetu
Uchumi wa Kenya ni wa makaratasi.

Kwasasa nchi tao inakopesheka kwa mbinde sana.

Inalipa mishahara kwa shida.

Inashindwa hata kujenga miradi kwa pesa za ndani. Wanategemea zaidi sekta binafsi.

Wananchi wanaishi kwenye umasikini mzito vibaya sana.

Hata kula tu ni shida.

Kenya, mafuta, LUKU, usafiri, kodi ya nyumba, chakula vyote ni bei ghali sana havina ubora.

Huu ni mzigo wa bidhaa mbalimbali ikiwemo chakula, unaotoka TZ, kwenda Kenya👇👇

View: https://x.com/peteklemenza/status/1824449386144727391?t=cCUIBnuc8AncOzmiCeyrTQ&s=19
 
Huo upumbavu kwenye kuagiza ndio hali tuliyo nayo kwa sasa, Sasa nikuulize kupandia kwa dollar hakuna athari kwetu?
Hii nchi hatuna hata sector moja tutakayobsema Ina full and complete supply chain.

Machinga ni matokeo ya sera za kufanya watu wote wawe wachuuzi a.k.a ujasiliamali.

Nje ya mafuta, hakuna vitu vingine muhimu tunavyohitaji?

Tunaizungumzia Tanzania, tuna hiyo fixed amount tuliyoiset, kama hakuna naomba hujibu hoja kwa hali halisi ya Sasa

Nadhani bila kuuma maneno ni Kenya na walitupita mwaka 1995 yaani wametuzidi kote kwenye PPP na per Capita hasa moja ya sababu ni kushusha thamani ya pesa yetu
hata Tsh leo ikiwa kubwa kuliko dola, haina athari kwako! haina faida wala hasara kwako, exchange rates ni muongozo wa biashara za kibepari kutoka nchi husika and those rates are manual, haihusiani sjui ukiwa na uchumi mzuri ndo tsh inaipita dollar, elewa kwamba these rates are manually CONFIGURED
 
haijalishi umepiga au umetumia ovyo ushakopa Ela, Nchi inakuwa Subservient TUU wakishatoa Mkopo.. ndio kazi ya EHM,
Hakuna nchi isiyodaiwa.

Wati wanatumia OPM (other people's money)

Lakini pia budget zetu hazitoahi, unakopa kujazia.

Mfano, SGR ni Trillions karibu 25.

Huwezi kutumia kodi kujenga mradi kama huo.
 
Kudaiwa siyo tatizo.

Shida ni Kupiga au kuwekeza ovyo pesa za mikopo.
Kunao watu wanaitwa Economic Hitmans kazi yao ni kushawishi nchi kufanya matumizi ya ela ambao hawana wakishawishi ni faida kwa nchi yako angali ni kifungo cha Deni, Hayo madeni ndio chanzo cha Us millitary base kujengwa Huku Africa Sababu nchi iko subservient kwake
 
US ana military nchi mbili 2 Africa, Kenya na Djibouti.

Na siyo kwasababu ya madeni
 
Hakuna nchi isiyodaiwa.

Wati wanatumia OPM (other people's money)

Lakini pia budget zetu hazitoahi, unakopa kujazia.

Mfano, SGR ni Trillions karibu 25.

Huwezi kutumia kodi kujenga mradi kama huo.
sio mbaya kupokea mkopo ila anaekupa mkopo ndio alikuekea mindset ya kufanya consumption na pia hata construction za infrastucture zinazofanywa kwa Ela Ya USD mara nyingi company hizo hizo za USA ndio wanaojengaa Hioo miradi Na USA hawatufanyi Imports nyingi tofauti na Medicine kwaio hata kama wangefanyia Maendeleo hizo ela za mikopo bado Tuuu wangekuwa na upper hand kwetu
 
I will be short

Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence

Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .

USIseme atukukwambia. .
Ndugu, hachana na haya makanjana sijui wa BOT, hii kitu imefikia 2,740 kwenye maduka ya kubadilishia fedha. Ndio madhara ya kuongozwa na PS
 
Attachments

  • Screenshot_20250518-214917.jpg
    Screenshot_20250518-214917.jpg
    204.2 KB · Views: 22
Hakuna nchi isiyodaiwa.

Wati wanatumia OPM (other people's money)

Lakini pia budget zetu hazitoahi, unakopa kujazia.

Mfano, SGR ni Trillions karibu 25.

Huwezi kutumia kodi kujenga mradi kama huo.
Mkopo unalipa na dollar huna 😂😂😂😂.

This is funny .hawa ndo watu wadhani we don’t export food .

Ukiwa chawa na akili huna .
 
hata Tsh leo ikiwa kubwa kuliko dola, haina athari kwako! haina faida wala hasara kwako, exchange rates ni muongozo wa biashara za kibepari kutoka nchi husika and those rates are manual, haihusiani sjui ukiwa na uchumi mzuri ndo tsh inaipita dollar, elewa kwamba these rates are manually CONFIGURED
Your stupid mzee . Hata dollar ume wai kushika kweli . Maana ujui kitu kabisa mweupe
 
hata Tsh leo ikiwa kubwa kuliko dola, haina athari kwako! haina faida wala hasara kwako, exchange rates ni muongozo wa biashara za kibepari kutoka nchi husika and those rates are manual, haihusiani sjui ukiwa na uchumi mzuri ndo tsh inaipita dollar, elewa kwamba these rates are manually CONFIGURED
Nilikuuliza kama manually, unaweza ukarate Hadi 1500 kesho?

Tuseme shilingi imekuwa 1=1usd
Fikiria athari zake kwenye import na export trade?

Itapunguza inflation kwa bidhaa Toka nje, itabaki tarifs na Kodi zetu tu
Itakuwa Watanzania wataimport cheaply kuanzia bidhaa Hadi huduma.

Biashara ya vipuri na mafuta itapungua bei,
Unajua raia wataneemeka kwa kiasi gani?

Umesoma kweli uchumi, biashara, finance ? au mtaalamu wa kitaa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
yes ni manuall, na nmeshaelezea vizuri apo juu na ukirudi nyuma utaona nmeweka screenshot nkimuelezea mtu nlifanya kazi gan BOT miaka ya nyuma!

tuje kwenye swali lako! hakuna athari zozote hata kama $1 ikiwa sawa na Tsh 1, it wont be INSTANT but they can do that, iiko ivi when you want kununua mafuta nje ya nchi pesa inaotumika ni FOREIGN RESERVE sio TSH uliotoa wewe, chukulia huu mfano: ukienda benki ukaomba mkopo wa mil 1, benki haichukui pesa ya mtu flan husika kukukopesha bali inakuandikia tu kwenye akaunti Umepokea mil 1, because tayar hio hela wanayo na sio kwa sababu kuna mtu mmoja husika ameleta mil 1

Tuje kwenye swali lako, ukitaka kununua chochote nje BOT itachukua akiba yake ya pesa za kigeni kwa ajili ya kufanya huo mwamala, haitachukua Tsh yako kwa sababu hakuna nchi yoyote inahitaji hio pesa, so ata kama $1 = 10000 Tsh it wont matter kwa sababu at the end the reserve ndo itatumika ndo ndio inaotumika kuhesabu nchi inaweza kujiendesha kwa mda gan sio pesa yako, Nadhan nmekupa jibu la kueleweka kama una swali lingine uliza
 
Back
Top Bottom