MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Unadhani nimesoma Sanaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣kumuelewesha mtu ambae hatoki kwenye bckground ya finance ni ngumu but i do my best, ukiona unajua sana mm nakuacha
Unadhani nimesoma Sanaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣kumuelewesha mtu ambae hatoki kwenye bckground ya finance ni ngumu but i do my best, ukiona unajua sana mm nakuacha
PESA ni uthibitisho wa namba tu haina uhusiano wowote na thamani, naweza nkanunua shati buku 2 na kutokana na maongezi yetu ya biashara nkakuuzia ilo shati 50k na ukaona kama thamani znaendana!Hii ni currency na sio maneno ndio maana watu wapo na tahadhari.
sasa usipoelewa basi na pia sio lazima wewe kuelewa inatokana na utayari wa mtu,Unadhani nimesoma Sanaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa hapa ndio umejibu nini?nice question: uhaba wa $ unatokana na kupungua kwa mauzo ya serikali nje a nchi, ama watalii wachache! chochote kinachotokana na kukosekana mauzo kutoka serikali kwenda nje ya nchi basi reserve inakua haitoshi, pia kuna limit ya kiasi unaweza kutumia, WB(world bank) inataka nchi zote kua na akiba ya kuendesha nchi kwa miezi isiopungua 4 incase country bails out however haina uhusiano wa rate ya dola, dola inaweza kuuzwa any amount wanataka mfano ukienda kwenye official sources dola inauzwa around 2670 mtaani mtu anauza mpaka 2700 ama 2800 na sio mtaani tu ata ukienda benki za tanzania
View attachment 3338496
RATES ni MANUAL hazina uhusiano na kwamba kuna uhaba wa pesa za kigeniSasa hapa ndio umejibu nini?
Price haiamuliwi kwa maneno Bali Sheria za Uchumi demand and supply na uwezo wa Wananchi kuwa na disposable income ya kutosha.PESA ni uthibitisho wa namba tu haina uhusiano wowote na thamani, naweza nkanunua shati buku 2 na kutokana na maongezi yetu ya biashara nkakuuzia ilo shati 50k na ukaona kama thamani znaendana!
Rates ni kuonyesha thamani ya pesaRATES ni MANUAL hazina uhusiano na kwamba kuna uhaba wa pesa za kigeni
Tatizo unaongea opsasa usipoelewa basi na pia sio lazima wewe kuelewa inatokana na utayari wa mtu,
ukituliza akili utaelewa vizuriTatizo unaongea op
nlivokuelezea imetosha, kama hujaelewa nadhan baki ivo ivoRates ni kuonyesha thamani ya pesa
Na inaposhuka au kupandia basi athari zake lazima zionekane
Hapana! Price inaamuliwa na Benki kuu haina uhusiano na demand wala supply! thamani ya wewe kupata dola 1 inaamuliwa na Mamlaka husika kutokana na kanuni wanazotaka zifuatwe, inaweza kupandishwa ama kushushwa mda wowote mfano mzuri ni last month price ilitoka 2800 mpaka 2100 ndan ya masaa kadhaaPrice haiamuliwi kwa maneno Bali Sheria za Uchumi demand and supply na uwezo wa Wananchi kuwa na disposable income ya kutosha.
Thamani inategemea na inavyocirculate.
Ndio maana nchi imepiga marufuku matumizi ya pesa za kigeni
Wewe endelea kubet nadhani ndio kazi unayo ijua.nlivokuelezea imetosha, kama hujaelewa nadhan baki ivo ivo
Na dollar ya Marekani ilianguka kutoka wapi hadi wapi?Hapana! Price inaamuliwa na Benki kuu haina uhusiano na demand wala supply! thamani ya wewe kupata dola 1 inaamuliwa na Mamlaka husika kutokana na kanuni wanazotaka zifuatwe, inaweza kupandishwa ama kushushwa mda wowote mfano mzuri ni last month price ilitoka 2800 mpaka 2100 ndan ya masaa kadhaa
swali lako halijaeleweka, liweke vizuriNa dollar ya Marekani ilianguka kutoka wapi hadi wapi?
kama nlivokwambia before mm slazimishi mtu kuelewa na nshaelezea vya kutosha! kwakua hutak kuelewa basi baki ivo ivo kila mwaka utalia sana na things wont make senseWewe endelea kubet nadhani ndio kazi unayo ijua.
Hata huko kwenye forex endelea kutafuta watu walizubaa Ili uwapige ila nadhani unahitaji elimu zaidi
nenda nchi inaokufaaTaifa la wapuuzi na mazoba ,ushabiki wa simba na yanga siku nzima huku maisha yanazidi kuwa magumu kutokana na hawa mbwa vibaka waliohijack uongozi wa hii nchi kwa miaka zaidi ya sitini
kafanye kaziNo reform no election
Ya kukisifu chama kwa fair kila idara?kafanye kazi