USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

At least umekubali inflation ina odirect effect Kwenye exchange rate...mi naomba nipumzike I'll get back here leo later, Ishaalah. Ila wakuu waambieni watu ukweli, let them know the truth, ili wanavyofanya decision making wafanye the right ones. Viongozi wengi Tz brain zao huwa zinashek, na wengi wanakujaga jf kisirisiri sawa, tujitaidi kuwaambia ukweli huenda wakavisoma wakavifanyia kazi, tukiacha Wanda wenyewe kama wenyewe aloo tutatengeneza mazombie wengi sana masta. ADIOS AMIGO
NIMECHEKA SANA HAHAHAHAHA..
TENGENEZA UZI TUELIMISHANE..kwenye inflation kuwa na direct effect kwenye exchange rate nakubali, lakn exchange rate kuwa na direct effect hapo ndo kidogo changamoto.
 
Hapana! Price inaamuliwa na Benki kuu haina uhusiano na demand wala supply! thamani ya wewe kupata dola 1 inaamuliwa na Mamlaka husika kutokana na kanuni wanazotaka zifuatwe, inaweza kupandishwa ama kushushwa mda wowote mfano mzuri ni last month price ilitoka 2800 mpaka 2100 ndan ya masaa kadhaa
...last month ilitoka 2800 hadi 2100 ndani ya masaa kadhaa? Last month ilikua April, hii iliyokea nchi gani? Hii hii Tanzania? Weka vizuri hiki unachosema maana utafanya wote humu tuonekane wajinga
 
...last month ilitoka 2800 hadi 2100 ndani ya masaa kadhaa? Last month ilikua April, hii iliyokea nchi gani? Hii hii Tanzania? Weka vizuri hiki unachosema maana utafanya wote humu tuonekane wajinga
NENDA NAYE POLE POLE ATAELEWA!
HAYA NDUGU NDO MATATZO YA KULISHWA MANENO
 
NIMECHEKA SANA HAHAHAHAHA..
TENGENEZA UZI TUELIMISHANE..kwenye inflation kuwa na direct effect kwenye exchange rate nakubali, lakn exchange rate kuwa na direct effect hapo ndo kidogo changamoto.
Exchange rate Ina direct effect, tena sana tu. Mfano tunaagiza mafuta ya petrol, pipa moja la mafuta linauzwa $70, ili mfanyabiashara kwa sasa anunue pipa hili moja inahitaji awe na sh. 189000 wakati thamani ya pesa ingekua ni kama ilivyokua mwaka uliopita huyu mfanyabishara ingemhitaji awe na sh.161000 tu sababu dola ilikua 2300
 
hili swali mbna nmeshalijibu uko juu, nmefanya kazi BOT sana kila mda narudia! ukitaka kujua ukwel in simple iko ivi,
Pale BOT wana dola nyingi sana zpo zmekaa hazina kazi kwa sababu sio pesa ya kufanya biashara TZ, so wewe ukitaka kitu cha $1000 utawapa mil 3 watakupa hio $1000 ambayo ulikua unaitaka wakati kwao ilikua imekaa haina kazi 🤣🤣

Unfortuately ndo kila sehem siasa za uchumi znaendeshwa ivo, however unaweza kudhan exchange rates ni likitu complex ila hapana ni siasa tu na tunaweza kuamka kesho tukaamuaa Tsh ipo juu ya dola na hakuna news zozote tumeamua tu, najua its sounds funny ila ndo uhalisia
...BOT wana dola nyingi sana zimekaa hazina kazi? Kwanza kama ulifanya kazi BOT ulipaswa useme hizo dola nyingi ni kiasi gani sababu reserve yetu ya dollar kwa miaka yote tumekua tukilalamika ni ndogo sana inacheza kwenye $6billion, malengo yetu tuwe na reserve zaidi ya $10billion.
Tumewahi kukumbwa na uhaba wa dola mwaka juzi 2023, hili pia raisi Samia alisema wakati wa msiba wa Lawrence mafuru na namna ambavyo alisaidia kuokoa jahazi kwa hatua alizopendekeza zitumike

Pili hakuna dola ambazo hazina kazi.
 
inflation haina uhusiano na exchange rates! these exchange rates are moved manually sometimes BOT will raise USD or make it fall, kwa wewe exchange rates haina uhusiano wowote na maisha yako kua magumu ama marahisi! ni elimu tu huna
Exchange rate Ina uhusiano na maisha magumu
Mfano hapo siku kadhaa nyuma exhange rate ilipokuwa 2300 Deni letu lilikua dola 43billion ambayo ni trilion 97, lakini Leo hii exchange rate ni 2700 hivyo Deni letu la serikali lipo kwenye trillion 116. Hivyo kila mwezi kiwango Cha kulipa kinaongezeka kutoka kwenye makusanyo yetu ya shillingi. Sababu kila mwezi tulikua tunalipa around dola mil 350 ambayo ni sawa na shillingi bilion 800, lakini kwa sasa ili kulipa dola mil 350 itatuhitaji tuwe na shillingi billon 940

Hilo ongezeko la bil 140 kila mwezi linaenda kupunguza huduma fulani ambazo wananchi wangeweza kuzipata.
 
hapana haina uhusiano, deni la tanzania nje ya nchi linalipwa kwa $ sio TSH, tuseme una deni la $1B ukisema uconvert Tsh kwenda $ ulipe deni basi utakomba almost nusu ya reserve ya dola zilizo nchini
Huwezi kukomba nusu ya reserve sababu nchi inafanya makusanyo na Deni linalipwa kila mwezi kwa amount ambayo ni chini ya 2/3 ya makusanyo
 
Bila shaka! dola kupanda athari yake ni kwa mtu anaefanya biashara za kimataifa kwa upande wa KUNUNUA, itabidi atoe TSH nyingi apate dola chache lakini uzuri ni kwamba wengi wanaofanya biashara za nchi na nchi wana ukwasi mkubwa kwahio wanaweza kwenye hio bishara wakafidia kupata faida nzuri, mfano ukienda kununua kitu china ukiwa na mil 10, itakubidi ukija kufanya biashara upate zaidi ya mil 10, which ni kitu cha kawaida kwa biashara chochote hata ambayo hawafanyi exchange rates
Dola kupanda athari ipo kwa watu wote tena hasa hasa walaji kuliko hata hao unaowasema. Sababu mfano kwenye mafuta, lazima Bei itapanda, Bei ya mafuta ikipanda hasara itakua kwa watu wote.
 
Tena mwaka jana, nakumbuka kuna mtu Ali change kwa 2950.
Hapa inazungummziwa official exchange na si black market. Official exchange haikuwahi kufika hiyo 2900
Mfano mafuta lita ni sh.3000 bei halali ya ewura, lakini wewe huko kwenu tu akakuuzia lita sh.5000 hiyo inakua ni yenu na si bei halali ya soko
 
I will be short

Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence

Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .

USIseme atukukwambia. .



Note : usi some comments za machawa humu . Elimu awana watakupotosha tu . Economy yetu is in crisis . Rand ni 150 today highest ever in 5 years . Hali mbaya sana . Ukiweza keep assert achana na Tanzania shillings kabisa
Mshukuru mheshimiwa, mtakatifu, mtukufu, mtume nabii rais daktari profesa fieldmashall, admiral, general, askofu, sheha, al hajat, ulama, deacon, paroko, nk nk SSH.
 
ata ingekua Tsh ni kubwa kuliko dola haimaanishi uchumi wa tz ni mkubwa, mfano ela ya libya ni kubwa kuliko dola but haimaanishi uchumi wa libya ni mkubwa kuliko marekan
Ela ya Libya kubwa kuliko dola?? Kivipi? Haijawahi kutokea hii labda uwe hujui kusoma namba vizuri

Nimeona umeweka screenshot mara mbilimbili kuwa Libya dinar 1 sawa na 0.18dollar. hii kwa akili yako ndio unasama pesa ya Libya ni kubwa kuliko dollar? Unafahamu vipi namba?
 
I will be short

Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence

Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .

USIseme atukukwambia. .



Note : usi some comments za machawa humu . Elimu awana watakupotosha tu . Economy yetu is in crisis . Rand ni 150 today highest ever in 5 years . Hali mbaya sana . Ukiweza keep assert achana na Tanzania shillings kabisa
Haya ni matunda ya kuongozwa na wapumbavu. The fruits of stupid leaders.....upumbavu kama huu ulianzia kwa mzee Mwinyi shilingi iliporomoka vibaya sana ....
 
I will be short

Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence

Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .

USIseme atukukwambia. .



Note : usi some comments za machawa humu . Elimu awana watakupotosha tu . Economy yetu is in crisis . Rand ni 150 today highest ever in 5 years . Hali mbaya sana . Ukiweza keep assert achana na Tanzania shillings kabisa
Hii ndiyo miujiza ya daktari profesa mtume nabii, general, fieldmashall, general, admiral, nk nk SSH.
 
labda nkuulize swali, ikitokea Tsh ina thamani kuliko Dollar unadhan nn kitatokea kwenye uchumi wa nchi na nkutajie nchi maskini zenye ela yenye thaman kuliko dollar
Mkuu mimi naomba unitajiw hizo nchi maskini ambazo ela yao Ina thamani kuliko dollar
 
Back
Top Bottom