toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
Kwani umesikia Tanzania Haina Dola?
Inflammation ya kitu gani hiyo? Fafanua
Kama we produce nothing inakuaje tuko top 10 ya wauza Dhahabu,wauza bidhaa za Kilimo na Utalii?
Unaropoka vitu usivhovijua na nakwambia tena hicho unachotaka kiwe will never happen ,soma hiyoo 👇👇
View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1922504731944964397?t=k4THh_G80Z2AX3eqdVqfcA&s=19
Nchi ambazo zipo Kwenye Top ten ya kuproduce na kuuza dhahabu kwa Africa no Ghana na S.A... .STOP LYING...