City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Hakuna athari kubwa.
Maana sisi siyo kisiwa, hatuagizi chakula.
Sekta zipo, kama chakula ambacho hatuagizi popote
Kafi ya vitu vinavyonikera nchi hii, ni kuruhusu kuagiza kila kitu.
Juzi tu hapo Diamond kajisifia kuagiza kontema 30 za sabuni za vipande.
Sabuni ni kitu cha kukaba wachina au watu wafungue viwanda hapa hapa.
Mafuta, na deni la nje hakuna kitu kingine cha muhimu sana.
Na hivi vitu unaweza kuvilipa kwa akiba ya Dolla iliyopo pamoja na akiba ya dhahabu iliyopo.
Pesa ya TZ inategemea market forces
Uchumi wa Kenya ni wa makaratasi.
Kwasasa nchi tao inakopesheka kwa mbinde sana.
Inalipa mishahara kwa shida.
Inashindwa hata kujenga miradi kwa pesa za ndani. Wanategemea zaidi sekta binafsi.
Wananchi wanaishi kwenye umasikini mzito vibaya sana.
Hata kula tu ni shida.
Kenya, mafuta, LUKU, usafiri, kodi ya nyumba, chakula vyote ni bei ghali sana havina ubora.
Huu ni mzigo wa bidhaa mbalimbali ikiwemo chakula, unaotoka TZ, kwenda Kenya👇👇
View: https://x.com/peteklemenza/status/1824449386144727391?t=cCUIBnuc8AncOzmiCeyrTQ&s=19
Chakula tunaagiza sana tu, mfano nafaka tunaagiza kwa wingi tu kama mchele, mahindi, ngano n.k