USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

Haipo na haiwezi kuwepo
1747643965904.png


1747643998631.png


1747644018894.png

apo vp mjomba
 
Mkuu haupo makini, Kama ingekua hivyo tu basi Leo hii tungeamua tu shillingi 1 ya Tanzania ni sawa na dollar 1 ya marekani alafu hizo dollar bilion 43 tunazodaiwa zingegeuka kuwa sawa na sh.bilion 43 tu tena ingelipwa haraka tu kesho asubuhi. Unafikiri tunapenda kusikia kuwa pesa tunayodaiwa dollar bilion 43 ni sawa na trillion 97??
hehehe laiti ungejua
 
Pesa haina uhusiano wowte na thaman? Hivi unajua definition tu ya kitu chochote kiitwe pesa lazima kuwe na thamani

Ili iitwe pesa lazima kwa iwe na thamani. Labda huelewi maana ya thamani(value)
tuseme mfano nlikua nmehifadhi shiling 100 ya kipindi cha nyerere nkikupa hio hela leo nkakwambia nataka kununua nyumba yako utanipa? kumbuka kipindi hio hela ipo iliweza kununua nyumba, kama hutaweza kunipa hio nyumba basi ata hela unayotumia saaahv haina thamani na haiwezi kua na thamani unless nkuaminishe ina thaman
 
Mwaka Jana 2024 tumwuza nje sana kuliko miaka mingine yoyote
Pia ndio mwaka ambao watalii wamekuja wengi kuliko miaka mingine yoyote. Hivyo jibu ulilotoa sio sahihi, mtafutie jibu sahihi
isssue ni it doesnt matter tuuze sna tusiuze sana haina athari yoyote kwetu, izo pesa zote znabaki BOT kama reserve na wao ndo wataamua tutoe tsh ngap ili wanipe hio dola walioweka kwenye akiba
 
Mkuu haupo makini, Kama ingekua hivyo tu basi Leo hii tungeamua tu shillingi 1 ya Tanzania ni sawa na dollar 1 ya marekani alafu hizo dollar bilion 43 tunazodaiwa zingegeuka kuwa sawa na sh.bilion 43 tu tena ingelipwa haraka tu kesho asubuhi. Unafikiri tunapenda kusikia kuwa pesa tunayodaiwa dollar bilion 43 ni sawa na trillion 97??
it doesnt matter ata tukisema leo Tsh 1 ni sawa na $1000 it wont change anything kwa sababu hizo Tsh haziendi nje ya nchi, yaaani iko ivi tuseme Tsh ina nguvu kuliko dollar, utaipeleka wap hio Tsh upewe dollar nje ya nchi? jibu ni hakuna!

Tsh mzunguko wake unaishia apa apa nchini na hizo dola utakazonunua kwa Tsh yao znatoka umu umu tanzania hivo basi ata kama tukisema Tsh 1 ni sawa na $1000 haimaanshi kwamba tutaweza kulipa deni la taifa kwa sababu hio pesa ya kulipa deni inatoka ndan ya nchi, yaaani lazima BOT wawe na hizo $

Kwa mfano:
Bot Reserve yao ni $1B, so maaana yake ata kama Tsh 1 ni sawa na $1000 the exact amount tunauwezo wa kulipa deni ni $1B hio hio kwa sababu ndo ipo
 
I will be short

Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence

Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .

USIseme atukukwambia. .



Note : usi some comments za machawa humu . Elimu awana watakupotosha tu . Economy yetu is in crisis . Rand ni 150 today highest ever in 5 years . Hali mbaya sana . Ukiweza keep assert achana na Tanzania shillings kabisa
Chura anasemaje?
 
Mama anaupiga mwingi, mama Hana deni, mama ongea na mwanao
 
hehehe laiti ungejua
Mkuu hapo umedanganya wazi, kushusha thamani si suala la kulala na kuamka ndio maana nimekutolea mfano ingekua rahisi Kama ulivyosema basi shilingi 1 ya Tanzania ingekua sawa na dola 1, alafu deni la taifa lingekua ni bilioni 43 tu ambazo zingelipwa ndani ya dakika tu
 
tuseme mfano nlikua nmehifadhi shiling 100 ya kipindi cha nyerere nkikupa hio hela leo nkakwambia nataka kununua nyumba yako utanipa? kumbuka kipindi hio hela ipo iliweza kununua nyumba, kama hutaweza kunipa hio nyumba basi ata hela unayotumia saaahv haina thamani na haiwezi kua na thamani unless nkuaminishe ina thaman
Mfano wako mbona umekosa weledi? Hapo jibu ni kwamba kwa sasa thamani ya sh.100 imepungua sana haiwezi kununua nyumba, unachoweza ni kununua pipi. Unapoambiwa thamani haimaanishi kuwa ni thamani kubwa, bali thamani huwa ndogo au kubwa kulingana na kiasi cha pesa ulichonacho. Kama una sh.100 utanunua kitu chenye thamani ya sh.100, Kama una sh.10000 utanunua kitu au vitu vyenye thamani ya sh 10000 au chini yake. Kuna sehemu hujaelewa?
 
isssue ni it doesnt matter tuuze sna tusiuze sana haina athari yoyote kwetu, izo pesa zote znabaki BOT kama reserve na wao ndo wataamua tutoe tsh ngap ili wanipe hio dola walioweka kwenye akiba
Jibu lako ulisema ni kuuza sana na watalii kuja sana ndio maana nikakujibu kuwa mwaka jana hivyp vyote vilitokea. Hiyo point ya kuuza sana na watalii ni wewe ndio uliyoiweka
 
unapewaje mkopo wa Tsh kijana, mkopo ni usd
Mkuu hivi unaelewa unachojibu? Wewe umesema tunapata dollar kwa kuuza nje na watalii, hakuna nje ya hapo. Ndio nimekuuliza mikopo tunayochukua tunapewa kwa shillings? Ulipaswa kusema Kuna njia nyingi nchi inaweza kupata dollars na si kusema kuuza nje na watalii tu. Rudia uone jibu ulilolitoa hapo mwanzo, mbona kama hujui ulichokua umeandika?
 
Akili huna...

1 USD = 6 Dinar
Mkuu huyu jamaa anasema alikua BOT, alafu ansema Libya dinar 1 ni sawa na 0.18dollar, hivyo pesa ya Libya ni kubwa kuliko dollar

Hapa kuna tatizo kubwa, siwezi kuamini hata decimals haelewi ni nini. Libya dinar 1 = 0.18 dollar, alafu mtu aliye BOT anakuambia hapo tafsiri yake libya dinar ni kubwa kuliko dollar. Sidhani BOT inaweza kuwa na mtu asiyejua hesabu za decimals
 
saf kabisa, aya GDP ya libya ni ngap na tanzania ni ngap tufunge mjadala sasa
Kuna sehemu nimeona umerudia mara nyingi sana kuwa Kuna nchi masikini sana hapa Africa ambazo pesa yao Ina thamani kuliko dollar, mkuu naomba unitajie hizo nchi nitashukuru sana kuzijua
 
Importer wanatumia dollars . Means they need the usd .
Also currency with poor purchasing power will print more money . Money is inflation . Lowering the currency value even more .

Also poor value create bigger debt . Madeni yanakuwa makubwa sana . Printing more money .

Soon Inchi ita default kushindwa kulipa madeni . Tsh will be worse less . Swala la mda tu.


Wewe kuwa Chawa tu . It’s what you know .
Short term solution ni kwenda cashless. Kulipa kwa mpesa au halopesa kwa kila kitu. Serikali ingeondoa makato kwenye lipa kwa mpesa.kila sehemu watu walipe kwa simu kama ilivyo Nairobi Kenya au kigali Rwanda. Kuanzia Daladala, mama ntilie, machinga, bodaboda kila mtoa Huduma awe na lipa number.

Hii itapunguza printing more money, na hence kucontrol money circulations.

That's a way to go for now. Otherwise 2030 tunatumia dollar kama Zimbabwe and hence maisha kuzidi kuwa magumu
 
Back
Top Bottom